Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huyu Chiesa akitimiza mechi 5 mfululizo tu kucheza bila ya kuumia nitahesabu amefanikiwa sana msimu huu

Ngwaba.

At £10m (+2m add-ons), you cant say NO kwa hiyo deal, especially kwa owners wanao-move na probabilities.

His injury record is GOOD, ni victim wa ACL, na unajua players huwa wanatofautiana kwenye ku-recover kutoka kwenye hiyo injury, it was kinda easy kwa VVD, kwasababu pace & aggression siyo his main go-to strength, kwa Chiesa ambaye pace & combative aggression ni kila kitu kwake, ni kawaida kuwa na occurances/episodes za muscle (misuli) problems, na siyo big deal kama akiwa managed vizuri, and at Liverpool itakuwa ni rahisi kwasababu ni rotational player, kwa msimu uliopita siku nyingi alizokaa nje ni 15 days, ni chache sana ukilinganisha na some of our players last season (Szobo, Trent, Robertson, Kostas, Gakpo etc) i think VVD & Salah ndiyo pekee wanaweza kuwa na minutes nyingi kumzidi kwa msimu uliopita.

33 games out of possible 38 outings? not bad for an injury prone player, isnt it?

I think, he's a very good signing, takes our Transfer window from 0/10 to 3/10 (my personal rating), ni signing ambayo haikuwa muhimu sana, but kwa that price ni CHANCE, ambayo huwezi kuiacha kabisa, GOOD SIGNING na personally, i cant complain.
 
Stefan Bajcetic ni FUTURE ya Liverpool Football Club, the club knows this, Slot knows this.

Msimu uliopita, alicheza si chini ya dakika 90(+) tu, kutokana na tatizo lake la Injury, so he needs game-time, at 19 years-old, he needs a place ambayo atakuwa anacheza mara kwa mara ili ku-regain his stamina & agility, hence loan ya Kwenda Barcelona ilikuwa hai-make sense, thanks God it collapsed, RB Salzburg ni good move for him, akiwa under Pep Lijnders ata-enjoy a lot of minutes, football & development.

The thing is, LFC fans huwa tunasahau umri wa Bajcetic, he's just 19, kwa umri wake anahitaji games nyingi sana ku-develop, msimu uliopita ilikuwa ni perfect chance kwake ku-develop but unfortunately, suala la Injury likawa kubwa sana, hence anahitaji TIME now.

So, loan move ya Bajcetic ni very beneficial kwa club na kwake pia.
 
Andre uyo wolves daah.

Kwa chiesa madaktar wajiandae mgonjwa mwingine kaja

Suala la injury kwa Chiesa, itabidi mlifanyie uchunguzi.

Hii graph siyo ya injury prone player.

Muscle problems ni kawaida kwa ACL victims.

I'm sure, Chiesa will play more minutes than Konate this season.

20240829_230650.jpg
 
Hahah [emoji81][emoji81][emoji81] Mie kibaraka wa Edward na Hughes dah.!!!

Anyway ngoja nijaribu kuelezea mambo fulani hivi. Kuhusu hizi Sajili.

Tukianza na Academy.

Hakuna muda sahihi zaidi wa kuuza academic players kama wakati huu. Why??
Wamepanda value sababu ya Carabao last season na zile mechi walizocheza btn Feb-March. Hakuna namna wanaweza kuingia first eleven hata under Klopp kama sio injured forced him wasingepata nafasi.

Uhalisia na matarajio ndio yanatuangashi big time hata kwenye maisha ya kawaida. Bobby Clark, Carvalho, Blair hawa wasingeweza kuingia kwenye timu ya wakubwa hata kuwa Squad players. Clark at the age of 21 bado hajawa Squad player?? Huoni ni uongo kusema ataingia kwenye senior team?? Jones alianza at the age of 17-18 watu tukawa na matarajio makubwa kwake binafsi gari lake nilipanda those days. What about Trent?? Vipi kuhusu Kelleher? Kawaida at 17 hivi to 19 unaonesha every quality ya kuaminiwa kwenye senior team. See Trey Nyoni?? Ndio maana huwa tunamkataliw Saint Anne kuhusu Kelleher kuichukua no. Ya Beckor kwa sababu kwa umri wake Alison alikuwa already top top GK. At 25 Alison alikuwa LFC no. 1 GK and Brazil.

Umri na no. Havidanganyi.

Kuna muda naona tunawa hype our academic players. Unawakumbuka hawa jamaa
—> Ben Woodburn
—> Rhian Brewster
—> Harry Wilson
—> Jordan Ibe

Na matarajio yetu?? Hawakuwa vile tulivyodhania why?? They were never be top talent with big club materials.

Musialowski tukamuita Polish Messi, ila hiyo ameondoka as a free agent kama ni top talent asingekosa timu hata championship huko ila unajua alipoenda?? Ameenda Cyprus timu inaitwa Omonia good thing inashiriki Conference anaweza kuonekana.

Watu wanalalamika kuhusu Carvalho jamaa kipaji kipo ila kuna sababu isiyosemwa as to why Klopp alimsajili mwenyewe kwa kumsubiri, alikuwa atue winter 2022 ila mambo yakaenda kombo ikabidi achukuliwe summer 2022. Licha ya kusubiriwa huko ila hakupata nafasi ndani ya kikosi cha Klopp akaishia kwenye mikopo. Mchezaji wa hivi ukipata £27M unaanza kuikataa?? Ngumu, cash on him maana huenda next time ukaishia kupata chini ya hapo.

Academic deals are good so far.

Senior Team.

Hapa sasa ndio pagumu sana, maana haka ka utamudi kapo toka Klopp atengeneze timu ya kuogofya. Tulihitaji DM tukaletewa Gakpo na maisha yakasonga. Hapa dirisha likifungwa bila signing ya maana hasa DM/LCB nitakuja kutoa neno kwa sasa tuyaache. Ils ukinipa kati ya DM na LCB, Nachagua LCB over DM why?? Build up from behind inahitaji LCB mwenye uwezo wa maamuzi mazuri na uwezo wa kuzipiga passes, Tsimikas ni mzuri ila ahead of Robbo atacheza Robbo na Robbo sio yule tena injury za mara kwa mara na sio modern LB ni mzuri wa safari ndio maana kwa Klopp alikiwasha sana ila for possession football he is not good enough.

Chiesa sio injury prone kama wengi walivyomezwa na Media. Ishu ya Chiesa ipo hivi.
Jamaa alitaka New contract ambayo Juve walishindwana na hiyo contract hivyo akakataa kuongeza kwa matakwa na Juve. Chiesa contract yake imebaki 12 months kuliko kuondoka for free wamuuze tu ndicho kilichofanyika, ila wengi wanaamini Juve wamemkataa hapana.

Kuhusu injury prone si kweli kama inavyokuzwa sana na Media nyingi. Alipata ACL 2021-2022 ambayo ilimuweka nje muda mrefu karibu 3/4 ya mwaka. Hii tuliishuhudia kwa VVD 2020/2021. Hii lazima imuathiri mchezaji kimwili na kiakili. Vvd aliporejea tuliona uchezaji wake ila kadiri siku zinavyosogea uoga inampungua mpaka kumuisha. Last season alikosa only six games kutokana na injury less than Jota.

As time goes atakaa sawa tu kama alivyokaa vvd. Kwa nini naona hivi?? Aina ya kocha aliyepo kwa sasa, possession football with less intensity will reduce injury crisis. Unakumbuka Szobo na Keita kwa nyakati tofauti wakiwa Leipzig, they were injury free, ila intensity game ya Klopp miili ilishindwa kukabiliana nayo.
“It is a surprise deal of the summer”

Six frontline ni depth nzuri sana, Chiesa is not directly through in atapata game time itakayomsaidia kukaa sawa. Uwezo wake hauna any doubt anatumia miguu yote vizuri, dribbling nzuri, Pace ya maana kabisa…

Where are we heading??! Kwenye timu ya makombe, how and when we have to wait & to see it. Ila mipango ni mizuri tu, tunakusanya pesa kwa mipango mirefu na mifupi. Naamini Edward na Hughes watafit sana kwenye sera ya Sell to buy.

Up reds YNWA.
Kelleher ni golikipa bora kuwahi kutokea
 
Hiyo Ndio sababu juventus wamemuuza.hakuna kitu hapo mkuu yale yale ya Arthur,
Na mazoezi yetu jinsi yalivyo,ni mwendo wa kuhumia mazoezi tu.

Comparing Chiesa situation na ile ya Melo reeks of no research.

Chiesa was in his final year of his contract at Juve, ni kama situation ya Trent/Salah/VVD, and sadly kocha mpya wa Juve, Motta, hakuwa na mipango na Chiesa kwenye his team, so badala ya ku-risk Chiesa ku-run down his contract, Juve decided to auction him, ili kurudisha atleast pesa kidogo kuliko kuacha aondoke for free mwakani.

Barcelona ilikuwa club ya kwanza kuongea na his camp, but FFP rules/La liga rules zikawa ngumu kwao ku-sunction a deal, Saudi clubs tried too, so pia sisi we saw an opportunity at only £10m, kwa miaka kadhaa tumekuwa tukililia backup ya Salah at RW, now tumeipata, tena at that price, sioni haja ya kuanza kumu-undermine mchezaji, kwasababu ya lack of research.

Mchezaji aliyecheza minutes 2900+ msimu uliopita, huwezi kum-stamp kama injury prone au sawa na Melo.

Now, players wangapi at LFC wali-clock 2000+ minutes kwenye comps zote msimu uliopita?

Hizi games & minutes played, siyo za injury prone player.
20240829_230652.jpg
 
SLOT, NI serious coach, Bajcetic is 19, na ni Injury prone, hawezi kumuweka kwenye plan yake ya season tena kwenye DM.

Na hata kama BAJCETIC angekuwa fit na akapewa hizo dk 15-20 bado siyo COMMANDING number 6 Liverpool tunayemuhitaji.
Hows is Bajcetic injury prone?

Nini maana ya Injury prone?
 
Anaejua anakotupeleka Edwards na Hughes ni @TheMoNA 🤣🤣🤣🤣mie wala sielewi ndugu yaani 🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️... Hatukua na mapungufu upande wa kipa wala winga wa kushoto lakini tazama jamaa zako walivyosajili.

Unless hii Slot ball ieleweke mapema na kusiwe na majeruhi sioni tukiwa contenders popote aisee.

Huyu dogo lile jeraha naona halikua powa sana kiasi anahitaji ligi ambayo itakua haina mishe kama EPL ndio maana wanamtoa kwa mkopo binafsi angebakia kama serial sub mpaka pale sasa angefaa.

YNWA
So far Hughes & Edwards wame-fail ku-deliver kwenye hii transfer window.

I will share my 2 cents baada ya TW kufungwa but its not looking good, especially kwa upande wa Hughes.

Fuckup waliyofanya jamaa zetu kwenye deal ya Zubimendi ilikuwa ni kubwa sana.
 
Hakuna tena yale ma hug 🤗 ya Klopp. Slot ni kazi kazi hana bla bla. Kwa hili nasimama nae. Klabu kwanza mengine baadae. Klopp alitaka kua mwema kwa kila mtu wakati mwingine ilimgharimu mechi kwa kukosa ujasiri wa sub kama hizi.

YNWA
Slot hana uwezo wa kumvimbia Trent, acha hizi mambo bhana.

Huyo uliyem-quote anasema Slot alimkoromea Trent, no he DIDNT, alienda kumueleza why he subbed him off, as aliona Trent hakuwa happy.

Slot ni very good coach, a very good coach and i think & hope atafanikiwa at the club because he's really really really happy to be there. but he needs to stamp his authority kwanza, win trophies or compete with the best on daily basis.

And, he knows better kuwa his hands are tied now, Trent anaingia mwaka mwa mwisho wa mkataba, Club ikifanya mistake, he will leave for free msimu ujao, kubali au kataa, Trent ni most prized asset at the Club right now.

Most of upcoming Coaches huwa wanakuwa na dreams pia, dreams za kufundisha big clubs, dreams za kufundisha world class players, Slot anaishi his dreams now, yupo at LFC na anawacoach kina Trent, Salah, Allison, VVD etc, he has top class talents kwenye his tank, kina MacAllister, Szobo, Gravenberch, Konate, Diaz, Nunez, Jota etc he's living his dreams.

Most ya players anaofundisha now, asingepata chance ya kuwafundisha kama asingekuwepo at LFC au asinge-move out kutoka Feyenoord, ana 19 year-old ambaye anatakiwa na Barcelona, alikuwa na kids ambao wameuzwa kwa £20m-30m, at Feyenoord unauzaje kina VDB? Fabio? etc, at Feyenoord, unaweza vipi kumsajili Chiesa as your backup? at Feyenoord, unaweza vipi kuwa na Gakpo/Nunez as your backups? mind you Gakpo was a big star at PSV.

unapewa team yenye FOUR Certified world class players (Allison, VVD, Salah, Trent), ni dream kwa kila kocha, unapewa team ambayo ina certified international capped footballers (Alexis, Diaz, Nunez, Gakpo, Jota, Robertson, Kostas, Endo, Gravenberch, Konate, Gomez etc), ni dream kwa kila coach.

I am just happy for Slot, accepted the challenge ya kumrithi Klopp, filling BIG shoes, thats everything you want from a manager.

But, suala la kuwa alimkoromea Trent ni UONGO, na kuna post yangu ya kumkaribisha Slot at LFC, niliongelea kuhusu umuhimu wa kumanage egos za kina Trent, because ubaya ni kuwa kina Trent, VVD, Salah, Allison, MacAllister, Robertson etc wana bigger football personality kuliko Slot, but so far Slot ameweza kuimanage na kuibalance dressing room vizuri, ndiyo maana anajaribu kuongea na players kila mara baada ya games kuelezea his decisions za kuwafanyia subs, etc

Watu wanaweza sema anajidogosha, NO, hiyo ni submissive factor inayokuja ukitoka kwenye team ndogo na kuja kwenye team kubwa yenye a lot of stars, ili usiharibu dressing room unatakiwa kujifunza ku-balance egos, ni kitu ambacho kilimshinda ETH at Utd na anapata tabu mpaka sasa.

See, tofauti ya Slot na Klopp, Klopp alikuja LFC tukiwa tuko shimoni SANA, star-player alikuwa ni Coutinho tu, na Klopp alikuwa katoka Dortmund, ambayo wakati ule ilikuwa unafanya vizuri kuliko LFC katika areas zote, at Dortmund he had/made a lot of stars (Lewa, Reus, Gundogan, Gotze, Hummels etc), he was one of the BEST & famous football coach back then, so alivyokuja at LFC, he had to start from the scratch na he made/created his own stars (Firmino, Mane, Salah, VVD Allison, Robertson, Fabinho, Trent, Gomez, Matip, Gini, Jota etc), phase 2 yake alikuwa ameshaanza kutengeneza cream ya kina Diaz, Konate, Nunez, Gakpo, MacAllister, Szobo, Gravenberch, Harvey, Curtis Jones, Bradley, Bajcetic, Danns etc. sasa kwa Slot kakuta already-made stars, na ni upcoming coach ambaye hana household name, katokea uholanzi, kakuta stars ambao washabeba kila aina ya trophies, washacompete na kila big clubs/players in the world, players ambao kama kwenye draws za CL wangepangwa na Feyenoord wangekuwa wanachekelea kuwa ni very easy draw, i mean its Feyenoord, na kwa bahati mbaya Slot wasnt that famous during his footballing days, unlike kina Xabi alonso, so kwa cream aliyoikuta at LFC hana haja ya kuanza from the scratch, hana haja ya kuanza kuvimbiana na wachezaji kwenye dressing room kwasababu itakuwa ni suicidal kwake.

But, katika team ambayo haina trouble kwenye dressing room ni LFC, kwasababu moja ya sababu iliyokuwa inakufanya uwe mchezaji wa Klopp/LFC ni good atitude on & off the pitch, kuna mihemko ya uwanjani huwa inatokea, ni kawaida kwenye mpira, Klopp alishawahi kuvimbiwa na kina Milner, Henderson, Mane etc baada ya kuwafanyia sub, so kilichotea kwa Trent ni NOTHING, ni kawaida mchezaji kufume akitolewa especially kama akiwa na good game. lakini tu anatakiwa kujua yeye ni Vice-captain, na haitakiwi Kocha amfafanulie why kamfanyia sub, tuna a lot of games msimu huu, Slot anajaribu kumanage injuries, hence kuna baadhi ya players kama Kina Nunez/Gakpo/Chiesa/Harvey/Curtis/EEndo/Kostas/Quansah/Gomez etc, tutaanza kuwaona sana baada ya first & 2nd international break.

And, i believe Trent ataimprove zaidi under Slot, maana naona anamsogeza kwenye inverting zone ya eneo la namba 10, baada ya katikati, ambapo ni good step. na nilikuwa nataka kukuuliza kuhusu hili pia, unaionaje new role ya Trent as an inverting 10? (Nipe madini, nikocopy ba ku-paste somewhere, haha)

Slot alimtoa Quansah at HT, na baada ya game alimuelekeza why alimtoa, na maeneo gani ambayo Quansah anatakiwa ku-improve, kwangu mimi hiyo ni good coaching, kuliko watu wanavyota Slot awe.
 
Yeah, he has a future, kama akiamua ku-embrace competition.

But, i think, kati ya players wote kwenye our MF, ni Gravenberch ndiyo atanufaika zaidi na ujio wa Slot.

Choza & Penison

Bado mna mashaka na uwezo wa Gravenberch? he's not a 6 but surely enjoying there? au?

Au choza unasubiri akutane na Rodri/Rice apotezwe kidogo, uje kutuwakiwa humu? huku ukijua kabisa he's not a natural 6??? haha

But, si unamuona anavyopasha pale kati? mpira laini sana, haha.

And, what about the ENGINE, Szobo? bado ni bad signing? DATA haijawahi kukosea mkuu, na kuhusu work-horses MFs Klopp hajawahi kukosea kabisa, tokea enzi na enzi.

Guess what, Schmadkte, told klopp kuwa Szobo wasnt worth the money (£60m), but Klopp said, No i need him at LFC, told FSG to whatever it takes to buy him. now yupo chini ya kocha mwenye moto wa ku-prove kuwa he's more that capable of caoching one of the biggest & richest clubs in the world, trust me, utakuwa ENTERTAINED sana.

I wish, power aliyokuwa nayo Klopp, angekuwa nayo Slot, Zubimendi angekuwa at LFC now. but naamini one TROPHY, just ONE big trophy, and the tables will be turned, Slot deserves the World, love him to death.

And, oh, you should see, rondos za Nunez under Slot pale Axa, haha, guess what, soon baada ya kukabidhiwa ofisi, Slot aliwapigia na kuongea kwanza na the big 4 (VVD, Alli, Trent & Salah) then wa tano alikuwa ni Nunez, he wants to work with him.

Brace yourself, Choza.
 
Fregossi saying we have been trying for Alan.

Just like Zubi though, Alan has a RC, €65m, dont think Porto watakubali kunegotiate for a payment structure, kama first contact tulifanya tangu April, it means we tried to negotiate installments and got rebuffed.

Fregossi is reliable.
Screenshot_20240830_023821_com.twitter.android_edit_65053528408307.jpg
 
Edward back at the Club
Ward back at the Club
Hughes first Transfer window at the club.

So far the nerds have failed to deliver, disastrous window & you cant blame FSG for this.

Slot asked & insisted for a DM, the nerds had 3 months to sort the DM issue out and now the clock is ticking.
 
Slot hana uwezo wa kumvimbia Trent, acha hizi mambo bhana.

Huyo uliyem-quote anasema Slot alimkoromea Trent, no he DIDNT, alienda kumueleza why he subbed him off, as aliona Trent hakuwa happy.

Slot ni very good coach, a very good coach and i think & hope atafanikiwa at the club because he's really really really happy to be there. but he needs to stamp his authority kwanza, win trophies or compete with the best on daily basis.

And, he knows better kuwa his hands are tied now, Trent anaingia mwaka mwa mwisho wa mkataba, Club ikifanya mistake, he will leave for free msimu ujao, kubali au kataa, Trent ni most prized asset at the Club right now.

Most of upcoming Coaches huwa wanakuwa na dreams pia, dreams za kufundisha big clubs, dreams za kufundisha world class players, Slot anaishi his dreams now, yupo at LFC na anawacoach kina Trent, Salah, Allison, VVD etc, he has top class talents kwenye his tank, kina MacAllister, Szobo, Gravenberch, Konate, Diaz, Nunez, Jota etc he's living his dreams.

Most ya players anaofundisha now, asingepata chance ya kuwafundisha kama asingekuwepo at LFC au asinge-move out kutoka Feyenoord, ana 19 year-old ambaye anatakiwa na Barcelona, alikuwa na kids ambao wameuzwa kwa £20m-30m, at Feyenoord unauzaje kina VDB? Fabio? etc, at Feyenoord, unaweza vipi kumsajili Chiesa as your backup? at Feyenoord, unaweza vipi kuwa na Gakpo/Nunez as your backups? mind you Gakpo was a big star at PSV.

unapewa team yenye FOUR Certified world class players (Allison, VVD, Salah, Trent), ni dream kwa kila kocha, unapewa team ambayo ina certified international capped footballers (Alexis, Diaz, Nunez, Gakpo, Jota, Robertson, Kostas, Endo, Gravenberch, Konate, Gomez etc), ni dream kwa kila coach.

I am just happy for Slot, accepted the challenge ya kumrithi Klopp, filling BIG shoes, thats everything you want from a manager.

But, suala la kuwa alimkoromea Trent ni UONGO, na kuna post yangu ya kumkaribisha Slot at LFC, niliongelea kuhusu umuhimu wa kumanage egos za kina Trent, because ubaya ni kuwa kina Trent, VVD, Salah, Allison, MacAllister, Robertson etc wana bigger football personality kuliko Slot, but so far Slot ameweza kuimanage na kuibalance dressing room vizuri, ndiyo maana anajaribu kuongea na players kila mara baada ya games kuelezea his decisions za kuwafanyia subs, etc

Watu wanaweza sema anajidogosha, NO, hiyo ni submissive factor inayokuja ukitoka kwenye team ndogo na kuja kwenye team kubwa yenye a lot of stars, ili usiharibu dressing room unatakiwa kujifunza ku-balance egos, ni kitu ambacho kilimshinda ETH at Utd na anapata tabu mpaka sasa.

See, tofauti ya Slot na Klopp, Klopp alikuja LFC tukiwa tuko shimoni SANA, star-player alikuwa ni Coutinho tu, na Klopp alikuwa katoka Dortmund, ambayo wakati ule ilikuwa unafanya vizuri kuliko LFC katika areas zote, at Dortmund he had/made a lot of stars (Lewa, Reus, Gundogan, Gotze, Hummels etc), he was one of the BEST & famous football coach back then, so alivyokuja at LFC, he had to start from the scratch na he made/created his own stars (Firmino, Mane, Salah, VVD Allison, Robertson, Fabinho, Trent, Gomez, Matip, Gini, Jota etc), phase 2 yake alikuwa ameshaanza kutengeneza cream ya kina Diaz, Konate, Nunez, Gakpo, MacAllister, Szobo, Gravenberch, Harvey, Curtis Jones, Bradley, Bajcetic, Danns etc. sasa kwa Slot kakuta already-made stars, na ni upcoming coach ambaye hana household name, katokea uholanzi, kakuta stars ambao washabeba kila aina ya trophies, washacompete na kila big clubs/players in the world, players ambao kama kwenye draws za CL wangepangwa na Feyenoord wangekuwa wanachekelea kuwa ni very easy draw, i mean its Feyenoord, na kwa bahati mbaya Slot wasnt that famous during his footballing days, unlike kina Xabi alonso, so kwa cream aliyoikuta at LFC hana haja ya kuanza from the scratch, hana haja ya kuanza kuvimbiana na wachezaji kwenye dressing room kwasababu itakuwa ni suicidal kwake.

But, katika team ambayo haina trouble kwenye dressing room ni LFC, kwasababu moja ya sababu iliyokuwa inakufanya uwe mchezaji wa Klopp/LFC ni good atitude on & off the pitch, kuna mihemko ya uwanjani huwa inatokea, ni kawaida kwenye mpira, Klopp alishawahi kuvimbiwa na kina Milner, Henderson, Mane etc baada ya kuwafanyia sub, so kilichotea kwa Trent ni NOTHING, ni kawaida mchezaji kufume akitolewa especially kama akiwa na good game. lakini tu anatakiwa kujua yeye ni Vice-captain, na haitakiwi Kocha amfafanulie why kamfanyia sub, tuna a lot of games msimu huu, Slot anajaribu kumanage injuries, hence kuna baadhi ya players kama Kina Nunez/Gakpo/Chiesa/Harvey/Curtis/EEndo/Kostas/Quansah/Gomez etc, tutaanza kuwaona sana baada ya first & 2nd international break.

And, i believe Trent ataimprove zaidi under Slot, maana naona anamsogeza kwenye inverting zone ya eneo la namba 10, baada ya katikati, ambapo ni good step. na nilikuwa nataka kukuuliza kuhusu hili pia, unaionaje new role ya Trent as an inverting 10? (Nipe madini, nikocopy ba ku-paste somewhere, haha)

Slot alimtoa Quansah at HT, na baada ya game alimuelekeza why alimtoa, na maeneo gani ambayo Quansah anatakiwa ku-improve, kwangu mimi hiyo ni good coaching, kuliko watu wanavyota Slot awe.
Ndio ndio.
Arne Slot ni aina ya kocha anayeishi na wachezaji wake kama watoto wake, hivyo hutumia njia ya mazungumzo ya upendo kuwaelewesha vijana wake.
Lakini sio kwamba player akizingua hawezi kumkoromea.
 
Comparing Chiesa situation na ile ya Melo reeks of no research.

Chiesa was in his final year of his contract at Juve, ni kama situation ya Trent/Salah/VVD, and sadly kocha mpya wa Juve, Motta, hakuwa na mipango na Chiesa kwenye his team, so badala ya ku-risk Chiesa ku-run down his contract, Juve decided to auction him, ili kurudisha atleast pesa kidogo kuliko kuacha aondoke for free mwakani.

Barcelona ilikuwa club ya kwanza kuongea na his camp, but FFP rules/La liga rules zikawa ngumu kwao ku-sunction a deal, Saudi clubs tried too, so pia sisi we saw an opportunity at only £10m, kwa miaka kadhaa tumekuwa tukililia backup ya Salah at RW, now tumeipata, tena at that price, sioni haja ya kuanza kumu-undermine mchezaji, kwasababu ya lack of research.

Mchezaji aliyecheza minutes 2900+ msimu uliopita, huwezi kum-stamp kama injury prone au sawa na Melo.

Now, players wangapi at LFC wali-clock 2000+ minutes kwenye comps zote msimu uliopita?

Hizi games & minutes played, siyo za injury prone player.
While I understand the excitement surrounding the Chiesa signing, comparing his situation to that of Melo is not entirely inaccurate. Both players were facing uncertainty at their previous clubs due to managerial changes and limited playing time.

Furthermore, Chiesa's injury history should not be completely dismissed. While he did play a significant number of minutes last season, his injury record over the past few years raises some concerns. It's important to consider his long-term durability, especially given the physical demands of Premier League football.

While Chiesa is a talented player, it's too early to definitively say whether he will be a success at Liverpool. His adaptation to a new league and his ability to perform consistently at the highest level will be key factors in determining his impact on the team.
 
Back
Top Bottom