Hakuna tena yale ma hug 🤗 ya Klopp. Slot ni kazi kazi hana bla bla. Kwa hili nasimama nae. Klabu kwanza mengine baadae. Klopp alitaka kua mwema kwa kila mtu wakati mwingine ilimgharimu mechi kwa kukosa ujasiri wa sub kama hizi.
YNWA
Slot hana uwezo wa kumvimbia Trent, acha hizi mambo bhana.
Huyo uliyem-quote anasema Slot alimkoromea Trent, no he DIDNT, alienda kumueleza why he subbed him off, as aliona Trent hakuwa happy.
Slot ni very good coach, a very good coach and i think & hope atafanikiwa at the club because he's really really really happy to be there. but he needs to stamp his authority kwanza, win trophies or compete with the best on daily basis.
And, he knows better kuwa his hands are tied now, Trent anaingia mwaka mwa mwisho wa mkataba, Club ikifanya mistake, he will leave for free msimu ujao, kubali au kataa, Trent ni most prized asset at the Club right now.
Most of upcoming Coaches huwa wanakuwa na dreams pia, dreams za kufundisha big clubs, dreams za kufundisha world class players, Slot anaishi his dreams now, yupo at LFC na anawacoach kina Trent, Salah, Allison, VVD etc, he has top class talents kwenye his tank, kina MacAllister, Szobo, Gravenberch, Konate, Diaz, Nunez, Jota etc he's living his dreams.
Most ya players anaofundisha now, asingepata chance ya kuwafundisha kama asingekuwepo at LFC au asinge-move out kutoka Feyenoord, ana 19 year-old ambaye anatakiwa na Barcelona, alikuwa na kids ambao wameuzwa kwa £20m-30m, at Feyenoord unauzaje kina VDB? Fabio? etc, at Feyenoord, unaweza vipi kumsajili Chiesa as your backup? at Feyenoord, unaweza vipi kuwa na Gakpo/Nunez as your backups? mind you Gakpo was a big star at PSV.
unapewa team yenye FOUR Certified world class players (Allison, VVD, Salah, Trent), ni dream kwa kila kocha, unapewa team ambayo ina certified international capped footballers (Alexis, Diaz, Nunez, Gakpo, Jota, Robertson, Kostas, Endo, Gravenberch, Konate, Gomez etc), ni dream kwa kila coach.
I am just happy for Slot, accepted the challenge ya kumrithi Klopp, filling BIG shoes, thats everything you want from a manager.
But, suala la kuwa alimkoromea Trent ni UONGO, na kuna post yangu ya kumkaribisha Slot at LFC, niliongelea kuhusu umuhimu wa kumanage egos za kina Trent, because ubaya ni kuwa kina Trent, VVD, Salah, Allison, MacAllister, Robertson etc wana bigger football personality kuliko Slot, but so far Slot ameweza kuimanage na kuibalance dressing room vizuri, ndiyo maana anajaribu kuongea na players kila mara baada ya games kuelezea his decisions za kuwafanyia subs, etc
Watu wanaweza sema anajidogosha, NO, hiyo ni submissive factor inayokuja ukitoka kwenye team ndogo na kuja kwenye team kubwa yenye a lot of stars, ili usiharibu dressing room unatakiwa kujifunza ku-balance egos, ni kitu ambacho kilimshinda ETH at Utd na anapata tabu mpaka sasa.
See, tofauti ya Slot na Klopp, Klopp alikuja LFC tukiwa tuko shimoni SANA, star-player alikuwa ni Coutinho tu, na Klopp alikuwa katoka Dortmund, ambayo wakati ule ilikuwa unafanya vizuri kuliko LFC katika areas zote, at Dortmund he had/made a lot of stars (Lewa, Reus, Gundogan, Gotze, Hummels etc), he was one of the BEST & famous football coach back then, so alivyokuja at LFC, he had to start from the scratch na he made/created his own stars (Firmino, Mane, Salah, VVD Allison, Robertson, Fabinho, Trent, Gomez, Matip, Gini, Jota etc), phase 2 yake alikuwa ameshaanza kutengeneza cream ya kina Diaz, Konate, Nunez, Gakpo, MacAllister, Szobo, Gravenberch, Harvey, Curtis Jones, Bradley, Bajcetic, Danns etc. sasa kwa Slot kakuta already-made stars, na ni upcoming coach ambaye hana household name, katokea uholanzi, kakuta stars ambao washabeba kila aina ya trophies, washacompete na kila big clubs/players in the world, players ambao kama kwenye draws za CL wangepangwa na Feyenoord wangekuwa wanachekelea kuwa ni very easy draw, i mean its Feyenoord, na kwa bahati mbaya Slot wasnt that famous during his footballing days, unlike kina Xabi alonso, so kwa cream aliyoikuta at LFC hana haja ya kuanza from the scratch, hana haja ya kuanza kuvimbiana na wachezaji kwenye dressing room kwasababu itakuwa ni suicidal kwake.
But, katika team ambayo haina trouble kwenye dressing room ni LFC, kwasababu moja ya sababu iliyokuwa inakufanya uwe mchezaji wa Klopp/LFC ni good atitude on & off the pitch, kuna mihemko ya uwanjani huwa inatokea, ni kawaida kwenye mpira, Klopp alishawahi kuvimbiwa na kina Milner, Henderson, Mane etc baada ya kuwafanyia sub, so kilichotea kwa Trent ni NOTHING, ni kawaida mchezaji kufume akitolewa especially kama akiwa na good game. lakini tu anatakiwa kujua yeye ni Vice-captain, na haitakiwi Kocha amfafanulie why kamfanyia sub, tuna a lot of games msimu huu, Slot anajaribu kumanage injuries, hence kuna baadhi ya players kama Kina Nunez/Gakpo/Chiesa/Harvey/Curtis/EEndo/Kostas/Quansah/Gomez etc, tutaanza kuwaona sana baada ya first & 2nd international break.
And, i believe Trent ataimprove zaidi under Slot, maana naona anamsogeza kwenye inverting zone ya eneo la namba 10, baada ya katikati, ambapo ni good step. na nilikuwa nataka kukuuliza kuhusu hili pia, unaionaje new role ya Trent as an inverting 10? (Nipe madini, nikocopy ba ku-paste somewhere, haha)
Slot alimtoa Quansah at HT, na baada ya game alimuelekeza why alimtoa, na maeneo gani ambayo Quansah anatakiwa ku-improve, kwangu mimi hiyo ni good coaching, kuliko watu wanavyota Slot awe.