Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wengi wetu tulikuwa na imani sana na MICHAEL EDWARD baada ya kurudi klabuni lakini ametuangusha pakubwa sana kwenye hili Dirisha la usajili na mshikaji wake RICHARD.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Heheh dada Wee..!!!

sasa hata miaka 15+ sio those days?? Acha hizo miaka mitano hapo ni those days.

Mie sio mtoto wa alfu mbili bana mkubwa mkubwa hivi wa 90 something hapo”,..
Kwanza naomba shkamoo yangu kabla hatujaendelea na mada ya watoto wa 90😂😂😂😂😂
 
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Bila kumtaja Nunez wwe huna rahaaa....
Sijapata muda my dia kuhusu Nunez na Slot the bald baddest

YNWA
 
Hivi hapa ndani mnakaa kabisa chini mkaamini Mzee kipara Big head hata wafikisha nchi ya ahadi tutacheka sana hapa vile vituko vya mzee kipara.

kuanzia leo ndo mtajua hapa amna kocha bali mna big head tupu kichwani🤣🤣
 
Aisee umeandikaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…