The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,168
- 10,184
View attachment 3083492
Michael Edward master wa biashara
Unajua deal ya Solanke kusajiliwa Spurs imetupa £7M,. ?! Hapo unaongezea £6m kutoka kwenye mauzo ya Clark na change inabaki £4m…
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 3083492
Michael Edward master wa biashara
Ila kweli Liverpool Ina logo Kali sijui kwanini wanapenda Sasa hivi Kila msimu kutuwekea liverbid aisee kwenye jezi anakaa vibaya apendezi au unaonaje mkuu
Mona Bwana
Eti those days
Utadhani ni those days kweli[emoji23]wakati mtoto wa elfu mbili[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]amesajili rundo, ila sasa hawana mpangilio wa usajili, kocha wao hajui hata atawatumiaje[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wengi wetu tulikuwa na imani sana na MICHAEL EDWARD baada ya kurudi klabuni lakini ametuangusha pakubwa sana kwenye hili Dirisha la usajili na mshikaji wake RICHARD.
Kwanza naomba shkamoo yangu kabla hatujaendelea na mada ya watoto wa 90😂😂😂😂😂Heheh dada Wee..!!!
sasa hata miaka 15+ sio those days?? Acha hizo miaka mitano hapo ni those days.
Mie sio mtoto wa alfu mbili bana mkubwa mkubwa hivi wa 90 something hapo”,..
Kwanza naomba shkamoo yangu kabla hatujaendelea na mada ya watoto wa 90[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Bila kumtaja Nunez wwe huna rahaaa....Captain Marvelous nakuona unapita kimyakimya.
Nakumiss sana hadi naumwa😂😂😂
Nakusubiri unichambulie Kocha mpya Baba kipara
Unajua kama mdogo wako Nunez hukunichambulia eeh?
Uruguay aliykuwa anacheza mpira pekupeku vilabu gani na alikuwa anagunga sana au alikuwa na gundu tangu Kijijini kwao?
Marahaba mdogo wanguShikamoo dada Anne’
YNWA
Nasubiri unichambulie ati😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Bila kumtaja Nunez wwe huna rahaaa....
Sijapata muda my dia kuhusu Nunez na Slot the bald baddest
YNWA
Ila nyie mtafika?Hivi hapa ndani mnakaa kabisa chini mkaamini Mzee kipara Big head hata wafikisha nchi ya ahadi tutacheka sana hapa vile vituko vya mzee kipara.
kuanzia leo ndo mtajua hapa amna kocha bali mna big head tupu kichwani🤣🤣View attachment 3084175
Kama mimi tuDah! New version ya Jamii furum inanishinda kabisa
Marahaba mdogo wangu
Hujambo?
Aisee umeandikaaaaaaManyanza.
Kuna kitu kinaitwa, "Dressing Room Politics", ni kitu ambacho kipo enzi na enzi lakini katika modern football, kimekuwa ni kikubwa sana.
Dressing Room, siyo tu Coaches & players, but ni the whole managament, na kwa bahati mbaya katika modern football, wachezaji ndiyo wana-hold the key, wachezaji ndiyo wana power, player-power ni kubwa sana kwasasa katika football.
Hence, unahitaji coach ambae anajua au ana uwezo wa kuishi/ku-limit influential aspect ya nguvu ya mchezaji katika dressing room. kila coach ana njia yake ya ku-demand authority kwenye dressing room, pamoja na ukubwa wake, Klopp used ile approach ya "father to son & brother to brother" tactic ili kulinda/kuepusha mental/ego problems kwenye dressing room, while mwezake Pep anatumia approach ya "I have seen it all" tactic, kwamba i made Messi, utaniambia nini? Pep approach ni same na ya Mourinho, kwamba "I have Seen it all", won CL with Porto, got CHELSEA back to LIFE with countless big trophies, utaniambia nini? hizi approaches ni tofauti na zile za kina Klopp/Carlo/Wenger etc, na zote zina hasara na faida, approach ya kina Klopp hasara yake ni kuwa eventually you get so attached na players (sentimentalism), faida yake ni kuwa players wanakuwa ready to die for you on the pitch, approach ya kina Pep hasara yake ni consistent bust-ups na wachezaji, faida yake ni kuwa players hawa-relax/kuwa katika comfort zone. BUT approaches zote zinafanya kazi kwa namna yake.
Sasa, Slot ambaye ni upcoming & bado ni very young coach, unataka atumie approach ipi? ya kina Pep? kwa CV ipi?
Then kuna tofauti kati ya kuwa Ruthless na Mkoromaji, kuwa ruthless ni kuwa hutaki players wawe comfortable na pia unafanya kile unachohisi ni sawa bila kujali feelings za mchezaji LAKINI kutoathiri his progress au urge ya kujitoa kwaajili yako uwanjani, alichofanya Slot kwa Quansah ile game ya kwanza, ni kumuonesha kuwa kama unataka kuwa katika team yake you need to work on your weaknesses, na ndiyo maana baada ya game alitenga muda wa kuongea na Quansah na kumuelekeza kwanini alimtoa na kitu gani anahitaji kutoka kwake, Manyanza, Slot kamrithi Quansah kutoka kwa Klopp (WC coach), kwenye mind ya Quansah anaamini kuwa kama aliweza kupata nafasi na kuaminiwa na Klopp basi ana uwezo wa kucheza chini ya kocha yeyote yule, hiyo ndiyo mindset ya hawa watoto wote kwenye big clubs, kama Slot angemkoromea Quansah siku ile kuwa "kwanini unapoteza duels?? kwanini unakuwa mzembe?" angepoteza dressing room siku ya kwanza tu, maana senior players wangeaza ku-question atitude ya Slot, na ni kitu dangerous, kwasababu anachofanya Slot kwasasa ni ku-earn TRUST ya senior players, ku-prove kwanza kuwa my coaching abilities can win you trophies.
Nakupa mfano mdogo sana wa "dressing room politics", unamuona Gundogan, a treble winner, certified world class player, won everything at City, EVERYTHING, he joins Barcelona, get to play katika one of the most terrible Barcelona sides in recent years, the Barcelona side was so young, ungefikiri kuwa the kids and even other senior players who havent won anything big kwenye their careers, BAR Lewa ambaye naye moja ya World Class player and senior aliyekuwepo at the club, but you know what happened? kwenye ile game dhidi ya PSG last season, Araujo alifanya mistake ambayo ili-cost his team big time, na baada ya game Gundogan akaongelea ile mistake, si kwa ubaya, bali alikuwa anatoa his 2 cents kuhusu state ya game kwa ujumla, but guess what? The whole dressing room turned on him, and guess what again? juzi kaondoka Barcelona, ni Ter Stegen tu, ambaye alimpa mkono wa kwaheri, angalia tofauti ya Gundogan na Cancelo walivyoondoka Barcelona, sasa unaona shida ya kuwa na vitoto kwenye dressing room, kina Araujo wana kipi cha kutamba mbele ya Gundogan? but shida iliyopo hapa ni kuwa Gundogan kawakuta hawa wachezaji at Barcelona, wamekuwa pamoja kwa muda mrefu sana, ndiyo maana unaona kina Lewa hawataki shida na hawa wachezaji, ni sawa na LFC, Trent/Salah/Robertson/VVD/Alli/Kostas/Gomez/Curtis wapo LFC pamoja si chini ya miaka 6-7, then ongeza cream ya kina Konate/Jota/Diaz/Nunez/Alexis/Szobo etc, na ukiachana na hawa seniors kuna kids kama kina Quansah/Harvey/Bradley etc, sasa kocha mpya unaingia hapa na kuanza kukoromea hawa watu, unatafuta shida mkuu, shida ya hatari sana. ETH kaenda Utd, pressure ya kufundisha big club got to him, akaanza kuvimbia players, na approaches za kina Pep, mpaka sasa ameshindwa kuikarabati dressing room yake, ndiyo maana anasign sana his old players au players anaowajua closely, sasa unataka iwe hivyo at LFC?
Slot akimkoromea Trent, Trent ataleta mentality zile zile za young players wote wa kwenye hizi big clubs, kwanza unanikoromea kama nani? kwa CV ipi? i have been coached by Klopp my whole life, i have won everything, i'm a scouser and worshipped by every single scouser in the City, na sasa kila siku Perez anapiga simu kwa my agent, wewe nani unanikoromea? na hapa ndiyo unakuta kwenye WhatsApp groups wanaanza kuulizana huyu kocha vipi? and if you think wachezaji wako hawa hawajam-discuss Slot kwenye group lao soon tu alivyotangazwa, then you're wrong. these players are human beings too and they gossip all the time, words ni kuwa Robertson ndiyo big gossiper (hakimpiti kitu).
So, njiq ya Slot kufanikiwa at LFC ni ku-manage dressing room dynamics, kukoromea kwa lugha nyepesi ni ku-instigate Bust-ups, na kwenye mpira mpaka zitokee bust-ups inamaana ni kitu kikubwa sana kimeenda WRONG, which sikioni at LFC.
Arne ananidhamu ya mchezo kuliko Klopp, jiandaeni kisaikolojia wazee hamna hamna 3.Leo kuku tunamkula kwa uma[emoji39][emoji39][emoji39]
Anne leo utamkataa Arne na kumkumbuka mzee wa kukenua uliekua unamnanga kila siku humu.View attachment 3084269