MmhhhLeo
Imetukalia vibaya
Man U sio kipimo sahihi bossKlopp ni master ila Arne ananidhamu sana na mpinzani na hii kitu ni nadra sana kwa makocha. Huyu jamaa atatuvusha.
Timu yangu ishajifia mdaπ₯²
Mtu ww maana kabisa π
πππππππππ Cc ephen_Timu yangu ishajifia mdaπ₯²
allypipi salama huko.Hivi hapa ndani mnakaa kabisa chini mkaamini Mzee kipara Big head hata wafikisha nchi ya ahadi tutacheka sana hapa vile vituko vya mzee kipara.
kuanzia leo ndo mtajua hapa amna kocha bali mna big head tupu kichwaniπ€£π€£
View attachment 3084175