Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MmhhhLeo
Imetukalia vibaya
Man U sio kipimo sahihi bossKlopp ni master ila Arne ananidhamu sana na mpinzani na hii kitu ni nadra sana kwa makocha. Huyu jamaa atatuvusha.
Timu yangu ishajifia mda🥲
Mtu ww maana kabisa 😎
😁😂😂😁😁😁😁😁😁 Cc ephen_Timu yangu ishajifia mda🥲
allypipi salama huko.Hivi hapa ndani mnakaa kabisa chini mkaamini Mzee kipara Big head hata wafikisha nchi ya ahadi tutacheka sana hapa vile vituko vya mzee kipara.
kuanzia leo ndo mtajua hapa amna kocha bali mna big head tupu kichwani🤣🤣
View attachment 3084175