Key Word “when it matters the most”
Mf wa karibu sana last season tulikuwa kwenye race ya ubingwa Anfield tulitoka 0-0 hiyo ni Dec tulipaswa kushinda ile match kwa namna yoyote ile ili tuendelee kukaa kileleni tukafeli,..
April at OT we ended 2-2, anachokimaanisha
choza choza ni wakati tunapaswa kumfunga ili kujihakikishia nafasi ya ubingwa hatufanyi hivyo. Same season pale OT wakatutoa FA kwa 4-3 Etra time kwa mchezo ambao ulihitajika kushusha tempo na kuwaacha utd wahangaike kurejesha (we were classy over them).
Mf. 7-0 haikuwa na maana katika ligi (hatukuwa kwenye race ya ubingwa),
FA january 2021 walitufunga 3-2 licha ya kuwa na mchezo mzuri.
EPL match 2018/2019, ilikuwa 24-2-2019 tuliishia 0-0 pale OT, hii season tuliukosa ubingwa kwa point 1 tu, with a win vs Utd Klopp’s CV would have 2 EPL,
Oct 2019 we had drawn again 1-1 with utd at OT, huu msimu tulibeba ubingwa ila we could have won with 101 if had beaten utd,
Hizi ndizo occasions ambazo ukisikia “Beat utd when it matters the most” ndizo huwa hivi Under Klopp.
Mona.
So, Slot majuzi kaifunga Utd when it mattered? we are just 3 games in.
Utd, ni our biggest rival, siyo tu upinzani wa uwanjani, bali hata kwa upande wa Culture & maisha ya kila siku. kuwafunga Utd katika mechi yeyote ile & at any given time, atmosphere & environment, ni kitu kikubwa sana.
Yes, Jurgen failed to register wins against Utd msimu ulioisha, tena katika games muhimu, & dhidi ya one of the weakest Utd sides, and it was unforgivable, but hiyo haiondoi au haifuti previous HEAVY wins za Klopp dhidi ya Utd.
Head to head na Utd, ni wao wanaongoza kwa wins nyingi, but under Klopp tuliweka records mbili za kufunga goals nyingi katika one fixture, ya kwanza ilikuwa ni 5-0 at OT and ya pili tulivunja wenyewe tena ikiwa ni 7-0 at Anfield.
Yeah, Klopp's hardest fixture kwenye EPL ilikuwa ni against Utd, iwe Anfield or OT, na mara nyingi sana kina Ngwaba walishaongelea kuhusu Klopp's cowardice approach dhidi ya Utd, but hata hivyo baada ya ile run ya LVG against us (Four wins in a row) na runs za Utd before 2013, especially during Fergie era, ambapo mara chache sana tulikuwa tunatoka tukiwa on top, ni kuwa since 2016 mpaka sasa, Utd wame-register si chini ya 3-4 wins (including Cup games) kuna a lot of draws, but tume-register more wins, & big record breaking results, so please lets not take that away from Klopp.
We are 3 games in, and Slot has started well, because ya kikosi & foundations alizoacha Klopp, Klopp mwenyewe kwenye his last presser alisema asingeondoka LFC kama kikosi & its foundation kingekuwa kwenye bad shape, meaning angeweza kuondoka baada ya msimu wa 2022/23, but he decided to wait, and akaanzisha phase 2 ya LFC, ambayo ndiyo hii tunaona matunda yake.
Watu wengi walikuwa wanasema Slot atakuwa na wakati mgumu, na ni kweli kuna muda mambo yatakuwa magumu, but hawezi kupata shida sana, kwasababu ana kikosi imara sana, NARUDIA tena, ana WC players kwenye his team, ana International capped first teamers kwenye his team, he couldnt have walked in kwenye better environment.
Klopp, brought this club back to LIFE, kikosi na hawa WC players tulionao nao ni MATUNDA ya kazi ya Klopp kwa miaka TISA aliyokuwepo at LFC.
Yeah, like any other human-being, he had his weaknesses, na sisi as fans pia we had our weaknesses, because yeye kuwa WC coach ilikuwa ni lazima tu-demand MORE, but ameondoka, ametuacha tukiwa tupo IMARA sana, angalia jinsi Fergie alivyoiacha Utd, angalia jinsi Wenger alivyoiacha Arsenal etc, in the end Arsenal got lucky with Arteta and he had to start from scratch, na ana bahati because chini yake Arsenal's owners were ready to spend & back him, jiulize kama Klopp angeondoka 22/23, FSG wangem-back Slot na big signings? kwa hali tuliyokuwa nayo 22/23, na Klopp angeondoka, mchezaji gani angeamini tena kwenye project? tungeweza ku-attract kina Alexis, Szobo, Ryan, Gakpo etc? kumbuka competition iliyokuwepo kwenye kusaka signatures za kina Alexis, Szobo? Gakpo si tayari alikuwa ready for Utd? tulikuwa na plan ya ku-sunction deal ya Gakpo in the summer, but baada ya UTD kuingia kwa kasi ile january, we had to act, sasa kama Klopp asingekuwepo nani angekuja? project imemaliza its circle na manager anaondoka, hamna mchezaji mwenye demand kubwa kwenye soko angetaka kuja, unless big money iwe involved, ndiyo haya mambo ambayo yameharibu Utd mpaka sasa.
Slot ni very talented coach, but it takes a big character ku-build up a once-BIG club with huge history from the scratch, tena chini ya FSG, Klopp had to do it with Henderson & Milner.
Past 2 years, Klopp ali-drop sana katika his coaching abilities, wote tuliliona hilo, but he finished 3rd last season, and tulikuwa tunaongoza league until March, with Endo at 6, going toe to toe na clubs zenye kina Rodri & Rice, na we fell off kwasababu ya injuries & fatigues.
BUT, japokuwa its hard to say this, it was the RIGHT TIME for Klopp to leave, and deep inside he knew, kwenye football kuna kipindi unakosa kabisa motivation ya kuendelea kuwepo uwanjani/kufundisha, na kuna factors nyingi tu, Klopp said ameandaa LFC 2.0 but hadhani kuwa inamuhitaji sana, it was time kwa kocha mwingine kuanzia alipoishia, he couldve recommended Lijnders na FSG wasingegoma hata kidogo, but he wanted the Club to evolve, he wanted the club kuwa na new/flesh ideas maana tools zote zipo, hence aligoma kabisa kina Hogan & Gordon kumhusisha katika search/suggestions za new coaches.
Slot is here, and ameanza league vizuri sana, najua kuna time anaweza akakutana na games ngumu sana, hii ni EPL, but ili ku-enjoy his first year, hatutakiwi kuwa na big expectations. itafika kipindi ambacho atahitaji kukosolewa pia, it happens, ni football, kila mtu anaona game kwa njia yake, but hii haifuti dhana ya kuwa, Slot was the right pick for the Club, personally i couldnt have asked for a better coach.
But, while tuna-ride wave ya Slot now, tusiingie kwenye mtego wa ku-discredit yale aliyofanya Klopp at the club for the past 9 years, kama FSG wangefanya wrong appointment at that time, tusingekuwa hapa tulipo now. na nasema hivi kwasababu kama Slot angeanza vibaya, kungekuwa na hit pieces/posts za kumu-attack jamaa, bila kumpa muda binafsi, na jina la Klopp lingekuwa linaimbwa kila siku, ndiyo maana nashukuru ameanza vizuri, kwasababu inaondoa pressure kubwa sana kwake.