Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Uendelee kuwepo man
 
How do I sound like?
Naonekana kama nyie eeh watoto wa 99[emoji13]

Mie bwana nina roho nyepesi sana wakati wa mpira huwa nalia kabisa
Iwe Kwa machungu au furaha.

Na huwa narusha miguu mikono kichwa
Wakati hata danadana sijui kupiga.

Dah.!! Unanikabia juu sanaaa, 99??

Una sound kama mtoto wa alfu mbili hivi,
 
Sana
Kwamba Klopp alikuwa hajitambui
Huyu mtoto bwana😂😂
Amshukuru Klopp sana kwa kumnoa hadi hapo alipofika.
Klopp hajitambui kweli unafikiri dogo anadanganya ukitaka uamini klopp ajitambui ni kukaa miaka 9 EPL 1 na Kila siku anafanya makosa yale Yale anakosa ubingwa mwishoni Bora uishie namba 10 timu Yako ijulikane ni mbovu kuliko kukosa ubingwa mwishoni Kwa kujirudia rudia na kingine kushindwa kuifunga Madrid kwenye mechi zote alizokutana nayo yaani Madrid imechukua UEFA 2 mbele yake Moja Madrid ilikua na kikosi dhaifu sana kwahiyo huyo dogo yupo sahihi klopp hajitambui Bora alivyosepa
 
Ukitoa PEP ambaye matajiri wanamwaga pesa za kutosh,je,makocha wa timu nyingine wana EPL, UEFA ngapi ndani ya miaka hiyo 9?
 
As much as i believe that Klopp needed to be more flexible ila hii comment yako ni disrespect kwake kwa kweli. 1 EPL in 9 years? unasahau kuwa hiyo ndo the only EPL title we have in 30+ years, he took charge wakati timu ikiwa ni proper mid-table team.

He dragged us from being mid table team to title contenders, he consistently made players punch way above their weights i.e. Coutinho, Salah & Mane (from good to world class players), Firmino (he was just another CAM but under Klopp he became the best false 9 in the world), Wijnaldum (from a good CAM to one of the best CM in the world), Robbo (from an average to world class player) etc.

Klopp amejenga foundation na new structure ya Liverpool, ni wachache wanaoweza kufanya kazi aliyoifanya yeye! ... anayefuata anapaswa kufanya finishing na tutamsifia kwa kazi yake nzuri lakini kamwe hatutambeza aliyenyanyua kuta.
 
WE dogo akili yako ya mtoto wa miaka 14
Huwa huwezi kutengeneza hoja kabisa.
Bora uwe dogo mwenye miaka 14 na akili za kitoto sio uwe kama wewe kubwa jinga unamiaka 57 huna kitu kichwani umejaa umasikini tu maana hapo hamna kibaya nilichoandika ila umekurupuka kwakua ni masikini unanjaa unaona kushobokea wanaume mtandaoni ndio njaa zako zitaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…