Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sure 99.99%

Ukweli ni kwamba 70% ya mashabiki wa LFC hata waliokuwa wanaipenda Madrid wanaichukia sababu ya kutugeuza mwembe wa uani. Ni kama Arsenal fans vile hawaipendi Barca na Bayern, Why? Miaka ile waliteswa na hawa jamaa sana.

Unajua mwembe wa uania hauhitaji nguvu nyingi kupata maembe yake eh?? Unaenda asubuhi au jioni unachagu uyatakayo, unatungua baaaasi. Ila chuki ilisababishwa na FINAL ya 2018, ile iliuma sana kutokana na scenario ya Ramos kumuumiza Salah ili raise chuki sana LFC fans vs Madrid, plus kufungwa Final 2022, na KO 2023 both home and away.

Kuipenda Madrid labda tuwafunge tena kama March 2009, that we won 4-0.

Yes Klopp will always be remembered in Liverpool FC.

YNWA.
Madrid popote wanapocheza wspigwe kipigo cha mbwa koko
Wakisumbua sana,tengua pua ya Mbappe
Wasishinde chochote
 
Hahaha The Mona... Its a wicked world bro kama leo hii Graham anamdiss Klopp according to MosDef basi usiwe surprised sana na hili la wachezaji kua na na vi headlines vya kichokozi na especially hawa ma kinda na ndio maana nika mention umri wake.. He has a long way to go. He will make some silly mistakes here n there kam hili la creating unnecessary twist..

YNWA

Nafikiria Media zinataka kutengeneza ligi kati ya Slot na Klopp”,. Ukitazama mechi zetu hata commentators utawasikia tu “hatukuwahi kuona hili kipindi cha Klopp”, “hatukuwahi kuona LFC ikicheza mpira huu under Klopp” kuna vibiashara vinaundwa undwa hapo kupitia “KLOPP vs SLOT”,.

Thats sijamlaumu Gravern easily naelewa kinachoendelea, na hiyo ni kazi ya media kutafuta headlines za kichokochoko ili kuchokoza hisia za watu its a normal thing.

Remember Sub ya Quansah at First half vs Ipswich, “We haven’t seen this before”, wakasema jamaa ana criticize wachezaji hadhari tofauti na alivyokuwa Klopp hawakuwahi kuona hili. Trent’s sub last two matches,.

Dr. Ian Graham anachodai Nunez ni chaguo la Klopp sio la wao kama scout na wachambua data, wao walimtaka L. Martinez over Nunez kama ni suala la kumrithi Bobby, of which is true technically otherwise mfumo ulipaswa kuchange ili kumuwezesha Nunez kucheza natural position with natural role but things went ndivyo sivyo Nunez akatuvua taulo mashabiki na watetezi wake.

Its a normal thing kwenye mpira, fikiria mchezaji anayekuja kuchukua mikoba ya Salah pressure atakayoibeba, fikiria mrithi wa VVD itakuwaje?? Mambo ya A vs B hayakwepeki ila mapro wanayategua fresh kama VVD & Salah walivyohojiwa kuhusu Contracts.

YNWA
 
Bajetic bones are made from new delhi cookies mate...
Kwanza anahitaji ku raise body mass maana DM EPL is brutal man sio kazi ya weak bones kama Bajetic current physique.

We have long way to go with the academy.. Tangu atue Pep pale Manchester City mpaka sasa wameuza zaidi ya £500m academy players.. Watu wengi husau yule bwana Txiki Begiristain pale Ethad is really influential sokoni and in the football world...

Our aim should be to surpass Manchester City Elite Development Squad ambayo ni money making machine ya Mansour.

Well time for Morton to shine pale DM.

YNWA

Last 3-4 years atleast naweza kusema tumekuwa na impressive academy. Ukiwekeza kwenye academy yes huwezi kuwapata kina Trent year in year out, but unazalisha kwa ajili ya akina Brentford, Southampton na ndugu zao wengine.

Tulikuwa na worse academy aisee, atleast sasa hivi tunaringa kiasi,.

Morton can cook if he stays full fit and game time.
 
Klopp was the Manager.

Slot is head coach.

Klopp had the last say on many aspect of the team liaising with Gordon on daily to daily issues za squad... To some extent he mis used this position kukumbatia ma bomb kama Henderson, Lallana, Milner, Karius, Matip, Thiago nk.... Klopp should have known anafanya kazi kwa wachumi wa kidunia ambao kwao wanatazamana zaidi wage bill kuliko chochote pale wanapotaka kununua au kutoa mkataba.

By the way after bonus Salah is pocketing £400k kwa wiki... [emoji91] [emoji91] Shine on Salah. Yankees hawana namna maana he is delivering.

YNWA

Hapo nahisi bonus ndio zitashiba zaidi, Salah can play 1-3 seasons kwa alivyo ndio wale few players wanastaafu na mpira wao..!!!

Na kocha kama Slot anayeitafuta CV lazima akae na World class players atleast 2 seasons kabla haja establish wa kwake



YNWA
 
Wametudhalilisha sana”,. Tumekuwa wanyonge wao kiwepesi sana.

Kwa kuwa Mungu ni wetu sote, tutavunja uteja mwaka huu.

YNWA
Wapigwe popote wanapokanyaga hawa wajinga🤣

Mimi na Salah tunasubiri kulipa kisasi labda this time tutaweza
 
Good morning
YNWA 🥰
 

Attachments

  • 1725272994301.jpg
    1725272994301.jpg
    254.6 KB · Views: 4
Last 3-4 years atleast naweza kusema tumekuwa na impressive academy. Ukiwekeza kwenye academy yes huwezi kuwapata kina Trent year in year out, but unazalisha kwa ajili ya akina Brentford, Southampton na ndugu zao wengine.

Tulikuwa na worse academy aisee, atleast sasa hivi tunaringa kiasi,.

Morton can cook if he stays full fit and game time.
Hata hao Ethad Elite Squad wameweza kuzalisha serial 1st squad member ni Foden tu then akina Bob wanachipukia sana sana wameuza list ni ndefu Laiva, Sancho, Palmer, Ienacho, Delap, Brahim Diaz, Trafford nk nk...

YNWA
 
Back
Top Bottom