Msela Wa Kitaa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2021
- 1,396
- 2,704
๐๐๐We lazima upitwe๐
Madrid popote wanapocheza wspigwe kipigo cha mbwa kokoSure 99.99%
Ukweli ni kwamba 70% ya mashabiki wa LFC hata waliokuwa wanaipenda Madrid wanaichukia sababu ya kutugeuza mwembe wa uani. Ni kama Arsenal fans vile hawaipendi Barca na Bayern, Why? Miaka ile waliteswa na hawa jamaa sana.
Unajua mwembe wa uania hauhitaji nguvu nyingi kupata maembe yake eh?? Unaenda asubuhi au jioni unachagu uyatakayo, unatungua baaaasi. Ila chuki ilisababishwa na FINAL ya 2018, ile iliuma sana kutokana na scenario ya Ramos kumuumiza Salah ili raise chuki sana LFC fans vs Madrid, plus kufungwa Final 2022, na KO 2023 both home and away.
Kuipenda Madrid labda tuwafunge tena kama March 2009, that we won 4-0.
Yes Klopp will always be remembered in Liverpool FC.
YNWA.
Mkuu haulali tu๐๐๐
Na wewe je?๐Mkuu haulali tu
Hahaha The Mona... Its a wicked world bro kama leo hii Graham anamdiss Klopp according to MosDef basi usiwe surprised sana na hili la wachezaji kua na na vi headlines vya kichokozi na especially hawa ma kinda na ndio maana nika mention umri wake.. He has a long way to go. He will make some silly mistakes here n there kam hili la creating unnecessary twist..
YNWA
Bajetic bones are made from new delhi cookies mate...
Kwanza anahitaji ku raise body mass maana DM EPL is brutal man sio kazi ya weak bones kama Bajetic current physique.
We have long way to go with the academy.. Tangu atue Pep pale Manchester City mpaka sasa wameuza zaidi ya ยฃ500m academy players.. Watu wengi husau yule bwana Txiki Begiristain pale Ethad is really influential sokoni and in the football world...
Our aim should be to surpass Manchester City Elite Development Squad ambayo ni money making machine ya Mansour.
Well time for Morton to shine pale DM.
YNWA
Klopp was the Manager.
Slot is head coach.
Klopp had the last say on many aspect of the team liaising with Gordon on daily to daily issues za squad... To some extent he mis used this position kukumbatia ma bomb kama Henderson, Lallana, Milner, Karius, Matip, Thiago nk.... Klopp should have known anafanya kazi kwa wachumi wa kidunia ambao kwao wanatazamana zaidi wage bill kuliko chochote pale wanapotaka kununua au kutoa mkataba.
By the way after bonus Salah is pocketing ยฃ400k kwa wiki... [emoji91] [emoji91] Shine on Salah. Yankees hawana namna maana he is delivering.
YNWA
Nawatania mnaojenga imaginations za Bibi Anne yupoje[emoji23]
Madrid popote wanapocheza wspigwe kipigo cha mbwa koko
Wakisumbua sana,tengua pua ya Mbappe
Wasishinde chochote
Basi ngoja nikuache tu hivyohivyo ๐๐Hapana
Mie bado naona wa alfu mbili hiviโฆ!!!
Wapigwe popote wanapokanyaga hawa wajinga๐คฃWametudhalilisha sanaโ,. Tumekuwa wanyonge wao kiwepesi sana.
Kwa kuwa Mungu ni wetu sote, tutavunja uteja mwaka huu.
YNWA
Watu mnakesha aiseeNa wewe je?๐
Amezidi sana umri labda 40,.lakini ni under 40 huyo hahahahaHapana
Mie bado naona wa alfu mbili hiviโฆ!!!
Ni kweli ila mostly ni when it doesnt matter, sare ya 0 0 mwaka 2019, msimu uliopita sare dhidi ya worst united tukiwa kwenye title race,View attachment 3086615
Klop kashawafunga goli 26 ndani ya michezo kumi alivyokutana nao
Hii Seven up bado tunayo na tunatamba nayoView attachment 3086615
Klop kashawafunga goli 26 ndani ya michezo kumi alivyokutana nao
Kumbe naonekana mdogo hivi aiseeAmezidi sana umri labda 40,.lakini ni under 40 huyo hahahaha
Hata hao Ethad Elite Squad wameweza kuzalisha serial 1st squad member ni Foden tu then akina Bob wanachipukia sana sana wameuza list ni ndefu Laiva, Sancho, Palmer, Ienacho, Delap, Brahim Diaz, Trafford nk nk...Last 3-4 years atleast naweza kusema tumekuwa na impressive academy. Ukiwekeza kwenye academy yes huwezi kuwapata kina Trent year in year out, but unazalisha kwa ajili ya akina Brentford, Southampton na ndugu zao wengine.
Tulikuwa na worse academy aisee, atleast sasa hivi tunaringa kiasi,.
Morton can cook if he stays full fit and game time.