Toto la 2000 kabisa [emoji23]Angalia avatar unikadirie miaka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] imefikia hatua tunajipa kichwa sasa baada ya kumfunga Man u [emoji23]Slot ni upgrade ya pep na klopp?
Give me a break negro
Too early aisee
Raha jipe mwenyewe Mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] imefikia hatua tunajipa kichwa sasa baada ya kumfunga Man u [emoji23]
Pazia linaacha goli waziKabisaaa, Kabisaaa, kufungwa kulikuwepo tu,
Watoto wa elfu , 2 na tisini mtulieToto la 2000 kabisa [emoji23]
Hakuna furaha kubwa kwa mashabiki au wachezaji wa Liverpool kama kumfunga Man URaha jipe mwenyewe Mkuu.
Rock n Roll stuff.
YNWA
Pazia linaacha goli wazi
Yupo kujichanganya unadhani naye ni beki
Yale magoli uliyaonaje?Basi tungeshinda zilizobaki, je yeye ndiye alikuwa bado chanzo cha kufungwa sisi??
Yale magoli uliyaonaje?
Tumepiga bomu mortuary[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] imefikia hatua tunajipa kichwa sasa baada ya kumfunga Man u [emoji23]
VVD ameingiaje hapa wakati tunaongelea golikipa kuacha goli na kwenda kushangaa katikati ya uwanja.Hata vvd ana yake pale,. Je baada ya pale tulishinda mechi zilizobaki au sare,?
Kumpiga shetani huwa ni raha sanaHakuna furaha kubwa kwa mashabiki au wachezaji wa Liverpool kama kumfunga Man U
YNWANawasalimia wakubwa
Dogo wa kukosa kosaWe are back at the AXA Training centre 🤣🤣🤣
View attachment 3094111
Kuna kipindi mkamdis sana humuAmeandika George Ambangile
TRENT ALEXANDER ARNOLD AS A CREATOR ( Mpishi )
✍🏻Trent Alexander Arnold kwa mashabiki wa kandanda huyu sio mgeni kwenu na aina ya soka lake lakini kwangu mimi kila siku anazidi kutanua upeo wangu wa kutazama soka tofauti .
✍🏻Kuna kipindi baadhi ya mashabiki na wengine pia kutoka Liverpool walikuwa wanatamani TAA kucheza eneo la kiungo kwasababu tu ya " Passing game " yake kiasi kwamba hata Southgate alijaribu mara moja
✍🏻Lakini uhatari wa TAA unatofautiana akiwa kwenye kiungo na akiwa beki wa kulia . Utofauti ni nini hapo ?
✍🏻Soma hapa : kuna tofauti kubwa sana baina ya " KUANZIA " eneo husika na " KUFIKA " eneo husika , yani :-
1: TAA akianzia eneo la kiungo moja kwa moja kuna sehemu unadunisha sana uhatari wake , maana kuna nyakati zipo atalazimika kupokea mpira goli kalipa mgongo , na pia hilo eneo mara chache huwa linakosa watu wengi ( kwahiyo space ni ndogo mno mara nyingi kuliko mara chache )
2: TAA akiwa anafika eneo la kiungo yani anatokea kulia halafu anazidi kusogea juu kwenye kiungo : iwe pembeni juu kulia , kwenye half space kulia , au hata katikati ya kiungo kabisa . Hapo anakuwa hatari zaidi , anauona uwanja vizuri mbele yake , na hata wapinzani wanakuwa mbali naye kwa distance fulani .
" Let TAA arrive there and not start in the midfield "
VVD ameingiaje hapa wakati tunaongelea golikipa kuacha goli na kwenda kushangaa katikati ya uwanja.
Zilizobaki za nini?
Tuanzie na hii ya Aseno
Kwanini aliachia?