Yaani mtu yupo katikati ya uwanja huko
Kwamba wenzie 10 wote waliopo humo hawatoshi?
Kwani yeye ndio wa kwanza kuotewa la vile?? Infact ni kipa pale LFC kwa sasa mwenye assists nyingi na goli kuliko yeyote yule”,.
It happens in football, kuna kipa alikuwa Evert tim Howard alishafunga goli from his spot, and many more like that, goli its just a goal.
We won iconic matches with him under the two post. Kuna saves vs Newcastle last season pale St. James and that save won us the match. Darwin Killed it🫠
Kuna mechi vs Napoli World class save kwenye injury time ilikupa CL 2019 with that save,
Unaikumbuka hii??
12-12-2018 last match ya group stages.
Hapo mechi ilikuwa dakika ya 90 plus 4 added injury time, Liverpool 1- 0 Napoli, points during the match ilikuwa inasoma 9 pts kwa LFC na 9 pts kwa Napoli battle ya 2nd position.
Callejon anapiga cross unamvuka Vvd na Lovren unatua kwa A. Milik, Big man from brazil anafanya wonderfull save inayomuacha Klopp mdomo wazi na smile ya mshangao (how did he do that .!) That save brought to us six CL trophy. Kama Milik angefunga hapo ilikuwa its over waleeee Europe.
Commentator:- “Thats why Liverpool spend big bucks on a Roma keeper”
Guess what ndio msimu wake wa kwanza na LFC baada ya msimu ulipita kuukosa ubingwa wa CL Madrid golini akiwa Germany guy Karius Loris, akafanya blander that Final. Some failures are for blessings huenda tusingekuwa na. BIG man
Call him AB1.
nakumalizia na haka
Unaikumbuka hii deader goal ilikupeleka CL na msimu huo ulifika final if it wasn’t that header 2022 usingeionja CL final,
Hizi ni moments za AB1 akiwa kwenye majukumu yake mama (kuzuia msifunge vs Napoli) na akiwa nje ya majukumu yake mama (kufunga vs West Bromwich).
Call him AB1.
Endelea na mechi vs Arsenal tu ujinyime uhondo.
YNWA