Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kuna kipindi mkamdis sana humu
Eti Quansah mzuri kuliko Trent

Nani atafunga mabao katikati ya uwanja kama Trent?

Debate was Bradley vs TAA not Quansah,

Why iliibuka debate ile?? TRENT defensive weaknesses over Bradley strength (kukaba).
Anachokisema Ambangile ni debate kuhusu Trent kucheza RB vs MF.

YNWA.
 
Debate was Bradley vs TAA not Quansah,

Why iliibuka debate ile?? TRENT defensive weaknesses over Bradley strength (kukaba).
Anachokisema Ambangile ni debate kuhusu Trent kucheza RB vs MF.

YNWA.
Halafu kumbe huyu Conor Bradley tulimchukua kutoka Bolto?
 
Yaani mtu yupo katikati ya uwanja huko
Kwamba wenzie 10 wote waliopo humo hawatoshi?

Kwani yeye ndio wa kwanza kuotewa la vile?? Infact ni kipa pale LFC kwa sasa mwenye assists nyingi na goli kuliko yeyote yule”,.

It happens in football, kuna kipa alikuwa Evert tim Howard alishafunga goli from his spot, and many more like that, goli its just a goal.

We won iconic matches with him under the two post. Kuna saves vs Newcastle last season pale St. James and that save won us the match. Darwin Killed it🫠
Kuna mechi vs Napoli World class save kwenye injury time ilikupa CL 2019 with that save,

IMG_6164.jpg

Unaikumbuka hii??

IMG_6162.jpg

12-12-2018 last match ya group stages.

Hapo mechi ilikuwa dakika ya 90 plus 4 added injury time, Liverpool 1- 0 Napoli, points during the match ilikuwa inasoma 9 pts kwa LFC na 9 pts kwa Napoli battle ya 2nd position.

Callejon anapiga cross unamvuka Vvd na Lovren unatua kwa A. Milik, Big man from brazil anafanya wonderfull save inayomuacha Klopp mdomo wazi na smile ya mshangao (how did he do that .!) That save brought to us six CL trophy. Kama Milik angefunga hapo ilikuwa its over waleeee Europe.

Commentator:- “Thats why Liverpool spend big bucks on a Roma keeper”

Guess what ndio msimu wake wa kwanza na LFC baada ya msimu ulipita kuukosa ubingwa wa CL Madrid golini akiwa Germany guy Karius Loris, akafanya blander that Final. Some failures are for blessings huenda tusingekuwa na. BIG man

Call him AB1.

nakumalizia na haka
IMG_6173.jpg

Unaikumbuka hii deader goal ilikupeleka CL na msimu huo ulifika final if it wasn’t that header 2022 usingeionja CL final,

Hizi ni moments za AB1 akiwa kwenye majukumu yake mama (kuzuia msifunge vs Napoli) na akiwa nje ya majukumu yake mama (kufunga vs West Bromwich).

Call him AB1.

Endelea na mechi vs Arsenal tu ujinyime uhondo.

YNWA
 
Attachments

  • IMG_6173.jpg
    IMG_6173.jpg
    376 KB · Views: 4
Kuna kipindi mkamdis sana humu
Eti Quansah mzuri kuliko Trent

Nani atafunga mabao katikati ya uwanja kama Trent?
Udhaifu wa Trent ni kuzuia tangu kitambo.... Kwa sasa ataonekana bora kwa kua Slot anacheza full DM Gravenberch na half DM Macca.

Slot maelekezo yake ni FULL CONTROL ndio maana utaona Jota anakimbia kote kama Firmino enzi zile.

Kwa maana hio Trent anasaidiwa sana pale nyuma

TAA ni wing back bora kuwahi kutokea England...ila watu wanataka awe beki kisiki🤣🤣🤣
 
Slot on Trent minutes: He proved he could do 90 minutes (with England). At Ipswich I saw him get tired towards end, but he's played since and now he's ready to play 90. But it's good for Conor to get minutes, or whoever comes in. I look at the team not the individual
 
Udhaifu wa Trent ni kuzuia tangu kitambo.... Kwa sasa ataonekana bora kwa kua Slot anacheza full DM Gravenberch na half DM Macca.

Slot maelekezo yake ni FULL CONTROL ndio maana utaona Jota anakimbia kote kama Firmino enzi zile.

Kwa maana hio Trent anasaidiwa sana pale nyuma

YNWA

Mapenzi upofu hapo hawezi kukuelewa hata uelezee kwa matendo na ushahidi”, ameshachagua boga lake kwa nini ua alikate???

YNWA
 
Back
Top Bottom