Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
😂😂😂😂Ngoja asokote dread aanze kumkataaa.Mapenzi upofu hapo hawezi kukuelewa hata uelezee kwa matendo na ushahidi”, ameshachagua boga lake kwa nini ua alikate???
YNWA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja asokote dread aanze kumkataaa.
YNWA
Mpaka anakuja ku staafu huyu dogo atakua kashavuja ma record kama yote playing as dynamic RB.
YNWA
View attachment 3095088
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] HEAD COACH wa ukweli SANAAAAA... MEDIA TAKE WATCH.
YNWA
Ten hag
Hio inaitwa... Watch what you say...Ten hag
Press conf ya kwanza tu anaanza kusema Eras come to an End matokeo yake sasa hiiiiiiiiiiiiiiiii
[emoji599] Any news on Salah, van Dijk and Trent Alexander Arnold’s contracts?
Arne Slot: “Boring answer again... but we don't talk about contracts here”.
“Not a distraction, I am fully focused on the team to work with them to get the best possible out of them”.
Pep Guardiola: “Nahitaji Kuitizama Zaidi Liverpool Chini ya Arne Slot”
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola, amezungumzia mabadiliko katika timu ya Liverpool chini ya uongozi mpya wa kocha Arne Slot, akisema kwamba anahitaji kutazama mechi zao zaidi ili kuelewa vyema mbinu zao. Akihojiwa na @SkySportsPL, Guardiola alisema:
[emoji2788]- “Sasa lazima nitazame zaidi Liverpool kwa sababu ya Arne: Sijui kabisa wanafanya nini kwa sasa. Lakini na Jurgen, tulifahamiana vizuri zaidi.”
Maneno ya Guardiola yanaashiria kuwa hajazoea kikamilifu mtindo wa uchezaji wa kocha mpya wa Liverpool, tofauti na alivyokuwa akimfahamu vizuri Jurgen Klopp. Hii inaonesha jinsi alivyokuwa na uwezo wa kutabiri mbinu za Liverpool hapo awali chini ya Klopp.
Pia Guardiola aliongeza kuwa miaka ya nyuma alitazama mechi zaidi kwa undani, lakini kwa sasa amepunguza muda anaoutumia kutazama video za wapinzani.
[emoji2788]- “Nikiwa kijana, nilitazama sana mechi kuliko sasa. Sasa nimekuwa mvivu kidogo. Nafikiri nikiwaangalia vya kutosha ninaweza kuelewa kile wapinzani wanataka kufanya. Ninachagua video sahihi kuonyesha wachezaji wangu ili kuwaelekeza jinsi ya kuwapiga.”
Ni wazi kuwa Guardiola ana uhakika katika mbinu zake, akisisitiza kuwa anachagua video muhimu ili kuwapa wachezaji wake mwongozo sahihi wa kukabiliana na wapinzani kama Liverpool.
Je, Arne Slot atashusha presha hii kwa Guardiola? Bila shaka, tutafuatilia kwa karibu mechi hizi kali za Ligi Kuu ya Uingereza! [emoji91]
Hapa suala siyo yeye wa kwanza kuotewa vileKwani yeye ndio wa kwanza kuotewa la vile?? Infact ni kipa pale LFC kwa sasa mwenye assists nyingi na goli kuliko yeyote yule”,.
It happens in football, kuna kipa alikuwa Evert tim Howard alishafunga goli from his spot, and many more like that, goli its just a goal.
We won iconic matches with him under the two post. Kuna saves vs Newcastle last season pale St. James and that save won us the match. Darwin Killed it🫠
Kuna mechi vs Napoli World class save kwenye injury time ilikupa CL 2019 with that save,
View attachment 3094554
Unaikumbuka hii??
View attachment 3094556
12-12-2018 last match ya group stages.
Hapo mechi ilikuwa dakika ya 90 plus 4 added injury time, Liverpool 1- 0 Napoli, points during the match ilikuwa inasoma 9 pts kwa LFC na 9 pts kwa Napoli battle ya 2nd position.
Callejon anapiga cross unamvuka Vvd na Lovren unatua kwa A. Milik, Big man from brazil anafanya wonderfull save inayomuacha Klopp mdomo wazi na smile ya mshangao (how did he do that .!) That save brought to us six CL trophy. Kama Milik angefunga hapo ilikuwa its over waleeee Europe.
Commentator:- “Thats why Liverpool spend big bucks on a Roma keeper”
Guess what ndio msimu wake wa kwanza na LFC baada ya msimu ulipita kuukosa ubingwa wa CL Madrid golini akiwa Germany guy Karius Loris, akafanya blander that Final. Some failures are for blessings huenda tusingekuwa na. BIG man
Call him AB1.
nakumalizia na haka
View attachment 3094558
Unaikumbuka hii deader goal ilikupeleka CL na msimu huo ulifika final if it wasn’t that header 2022 usingeionja CL final,
Hizi ni moments za AB1 akiwa kwenye majukumu yake mama (kuzuia msifunge vs Napoli) na akiwa nje ya majukumu yake mama (kufunga vs West Bromwich).
Call him AB1.
Endelea na mechi vs Arsenal tu ujinyime uhondo.
YNWA
Muacheni TrentDebate was Bradley vs TAA not Quansah,
Why iliibuka debate ile?? TRENT defensive weaknesses over Bradley strength (kukaba).
Anachokisema Ambangile ni debate kuhusu Trent kucheza RB vs MF.
YNWA.
Bangi hizo 😂Mimi ni sawa na kaka zako wote wakubwa na wadogo 😂😂😂