We were too hypedAfter 55yrs, finally Nottingham forest got a winner against Liverpool.
Mmeshaanza tyri🤠🤠🤠....kufungwa kidogo tu mnaanza kukosoa wachezaji....na wao ni binadamu siku mojamoja kudundwa sio mbayaGravenberch hana uwezo wowote wa kumuweka nje ENDO.
Szbo hana chochote cha maana cha kumuweka nje JONES na ELLIOT.
[emoji23][emoji23][emoji23]Sawa Zumbukuku
Ahahahah umenifanya nitabasamuLeo ilikuiwa bahati tu niweke mkeka kwenye hii mechi asante kwa kusita ningeliwa mchana kweupe
Hakuna timu apoKufungwa mara moja tu tumesha anza maneno maneno [emoji23] em tutulie.
Klopp amecheza EPL 9 miaka 9.Klopp mbwa tu Naye alishachezea vichapo sana kufungwa Leo sio kigezo Cha klopp kwamba alikua Bora sana
Nitajie wachezaji wa Klopp wanaomuangusha Slot.Michezaji ya Klopp inamuangusha, ni ya kufagia yoote
Kabisa MkuuThanks
Kuna kauli zilikua zinatoka hadi unashindwa kuamini
Hata tukishinda leo…. We are not good enough
Klopp ni akili imezeeka kafungwa kiboya mara nyingi sana na haya ni machezaji aliyoyatengeneza Kwa kushindwa kuwakazia fsg wampe pesa ya maana yake ambayo yanamuangusha slot full stop klopp sip baba yangu mpaka nisifie Kila kitu na slot nae akiwachekea fsg atakua kocha bwege tu sababu wewe kama kocha inabidi uheshimike kama guardiola mabosi wanamuheshimuKlopp amecheza EPL 9 miaka 9.
Unaona ni sahihi kumtukana kwa kufanya comparison na mtu ambaye hajamaliza round hata Moja EPL?
YNWA ✅UNWA