Samantha Lewthwaite
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 298
- 729
I know cool downYNWA ✅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I know cool downYNWA ✅
Ndiyo 😅Klopp amecheza EPL 9 miaka 9.
Unaona ni sahihi kumtukana kwa kufanya comparison na mtu ambaye hajamaliza round hata Moja EPL?
Mara moja inatoa ubikira kwa binti na kumpa mimba broKufungwa mara moja tu tumesha anza maneno maneno [emoji23] em tutulie.
Mnamuonea sana Klopp, asingekuwa Klopp hii Liverkuku ingeshaliwaga siku nyingiKlopp ni akili imezeeka kafungwa kiboya mara nyingi sana na haya ni machezaji aliyoyatengeneza Kwa kushindwa kuwakazia fsg wampe pesa ya maana yake ambayo yanamuangusha slot full stop klopp sip baba yangu mpaka nisifie Kila kitu na slot nae akiwachekea fsg atakua kocha bwege tu sababu wewe kama kocha inabidi uheshimike kama guardiola mabosi wanamuheshimu
Cheltako ipo wapiMnamuone asana Klopp, asingekuwa Klopp hii Liverkuku ingeshaliwaga siku nyingi
I thought is he perfectSlot subs were a worry today.
Kama this is he reacts tukiwa tuna chase a game, then its not a good sign.
We are 4 games in, as a coach hutakiwi ku-panick kabisa this early, subs za leo zimetuumiza sana.
Then, hakukuwa na haja ya ku-field the same first 11 baada ya international breaks, we were playing against Nuno's Forest, siyo City or Arsenal or other big team, jifunze kufanya rotations, kuna players ambao hawakwenda team za taifa kabisa, na kuna wengine hawakucheza minutes nyingi kwenye teams zao za taifa, rotate the team.
Hope, hii ni learning curve kwake, but if it continues, then tough questions ziazwe kuulizwa, you're coaching LFC, huwezi kuanza ku-panick game ya 4 tu, decisions alizofanya leo, huwa zinafanywa ukiwa desperate mwisho wa msimu (around march-may), we we playing back-3 ya VVD-Kostas-Bradley, 4 games in, unaanza kuleta haya mambo, tena against Forest? VVD in a 343 kwa umri huu? why? leo Slot amenipa wasiwasi sana.
Again, hope its a learning curve, tunacheza na AC Milan on Tuesday, anatakiwa ku-stick na same principles, whether tukipoteza au tukishinda, akihama kwenye his principles, tumekwisha.
Hii ni EPL, anatakiwa kujifunza jinsi ya ku-handle pressure.
Gravenberch hana uwezo wowote wa kumuweka nje ENDO.
Szbo hana chochote cha maana cha kumuweka nje JONES na ELLIOT.
I thought is he perfect
Wachezaji wote tuu waliopo walishaprove failure, huwezi ongoza ligi hadi zinabaki game 7, kisha unamaliza ligi wa 3 halafu watu hao hao unaanza nao msimu,Nitajie wachezaji wa Klopp wanaomuangusha Slot.