Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Slot subs were a worry today.

Kama this is how he reacts tukiwa tuna chase a game, then its not a good sign.

We are 4 games in, as a coach hutakiwi ku-panic kabisa this early, subs za leo zimetuumiza sana.

Then, hakukuwa na haja ya ku-field the same first 11 baada ya international breaks, we were playing against Nuno's Forest, siyo City or Arsenal or other big team, jifunze kufanya rotations, kuna players ambao hawakwenda team za taifa kabisa, na kuna wengine hawakucheza minutes nyingi kwenye teams zao za taifa, rotate the team.

Hope, hii ni learning curve kwake, but if it continues, then tough questions ziaze kuulizwa, you're coaching LFC, huwezi kuanza ku-panic game ya 4 tu, decisions alizofanya leo, huwa zinafanywa ukiwa desperate mwisho wa msimu (around march-may), we we playing back-3 ya VVD-Kostas-Bradley, 4 games in, unaanza kuleta haya mambo, tena against Forest? VVD in a 343 kwa umri huu? why? leo Slot amenipa wasiwasi sana.

Again, hope its a learning curve, tunacheza na AC Milan on Tuesday, anatakiwa ku-stick na same principles, whether tukipoteza au tukishinda, akihama kwenye his principles, tumekwisha.

Hii ni EPL, anatakiwa kujifunza jinsi ya ku-handle pressure.
 
On how he saw today’s result and performance...


I think the only thing we had influence on was ball possession because they played a lot of long balls, so if you then take the ball back you need to go past 11 players. We had a lot of ball possession but only managed to create three [or] four quite good chances, so that is by far not enough if you have so much ball possession. If you play so much in their half, we need to do much better. We lost the ball so many times in simple situations. That is, I think, the main story from the game: ball possession not good enough.
 
Mnamuonea sana Klopp, asingekuwa Klopp hii Liverkuku ingeshaliwaga siku nyingi
 
I thought is he perfect
 
Gravenberch hana uwezo wowote wa kumuweka nje ENDO.
Szbo hana chochote cha maana cha kumuweka nje JONES na ELLIOT.

Kuna post, iliwahi kuuliza why Klopp hakumchezesha Grav at 6, jibu langu ni kuwa Klopp prefres ku-operate na lone 6, hence Grav asingweza kucheza as a 6 chini ya Klopp.

Kwenye shape ya Slot, Grav anacheza vizuri deeper kwasababu ana inter-change na Alexis in a pivot, so huwa wanategemeana na Alexis kwenye Pivot.

Grav was fine at 6 mpaka ile sub ya Alexis (ambayo imetu-cost game leo).

What was the reason ya kumpeleka Trent in the midfield? at what point we needed Bradley at RB today? game-state yetu ilikuwa mbovu leo, but tulikuwa vizuri sana kwenye ku-defend transitions, na ndiyo tulikuwa bado tupo mchezoni, pamoja na ku-fail kabisa kuivunja/haribu defensive-shape/structure ya Forest.

Trent was doing good at RB kwenye upande wa transitions, Grav+Alexis were doing good kuzuia transitions and counter-pressing za Forest in the middle, kumtoa Alexis, na kumuweka Trent in the middle was suicide, Bradley come on and failed to cope with the occassion, as Grav and Trent ilikuwa ni mis-match pale katikati, we started to eat up transitions for fun, job ikawa ngumu kwa Bradley, Forest were cutting us open for fun, bacause hakukuwa na strong-MF base katikati (baada ya Alexis kutoka)

Kama, unamtoa Alexis, put Endo or Jones katikati alongside Grav, maintain the same balance, just add flair kwenye our attacking patterns.

Baada ya ile sub na Trent kwenda katikati, we conceded a goal, ambalo lilitokana na kile ambacho tulifanikiwa sana kuki-control (transitions), then baada ya ku-concede, subs got worse, kocha ana-panic, game ya Nne.

You cant blame Grav, he was good, mpaka baada ya zile subs, he's not a 6, but mpaka sasa he has held his own, hayo maneno unayosema hapo hukuyasema when he was bossing Casemiro & Mainoo at OT, na nilisema kuwa kuna kipindi Grav atakutana na games ngumu na hatacheza vizuri bacause he's not a natural 6, but this wasnt the game, he was good, tujifunze kuwa open katika kumkosoa Kocha akifanya blunder.

Slot anasema players failed to play/connect the ball with passes (overheat & underheat passes), but after international breaks, kulikuwa na haja gani ya kuanza na baadhi ya players ambao wame-play a lot of minutes kwenye internationals? then games tatu zilizopita kuna players hawajapata nafasi kubwa kabisa (Nunez/Gakpo/Endo/Jones/Kostas) etc, why cant you tweak the starting line-up? tulikuwa tunacheza na Forest, for gods sake.

This loss is on Slot.
 
I thought is he perfect

I have never said he was perfect.

I said, he's a good coach & he deserves time.

Alichofanya leo, kina-deserve criticism, & he's not an exception.

Na kama, nilivyosema leo, hope hii ni learning curve kwake, mimi ni football guy, sipo naive enough kufikiria kuwa Slot asingekutana na bad days, ni suala la kuombea tu kuwa hizi mistakes zisijirudie tu, thats it.

And, again, kuna posts zangu nilisema kuwa kwasasa, sina expectations zozote kwa Slot, new upcoming coach, new league, new style etc, he needs time, BUT nilichosema pia, i expect him to do "well" kwasababu he has WC players in his team, but sipo hapa ku-demand big trophies kwa msimu huu wake wa kwanza kwenye EPL, sipo hivyo. LAKINI hiyo haiondoi kinga ya kokosolewa akifanya school-boy mistakes, its Liverpool Football Club, stakes are higher.

Lastly, nataka afanikiwe at LFC, and i think he's more than capable, any person/coach ambaye ana-grab nafasi ya kufundisha LFC, awe ni mdogo au mkubwa, ana-deserve kufanikiwa, because akifanikiwa, ni club imefanikiwa.

So, i wont be sitting here, kumuombea a-fail ili ku-prove a point.

Klopp is gone, na hawezi kurudi, this is new LFC, this is the new era, ukiwa kama LFC fan you need to embrace that fact, tupo na SLOT now, back him, aki-fail kudeliver, ataondoka, thats football.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…