Welcome to the CL Mr. Arne Slot.
Kuna muda unaangalia mechi inahisi bado Klopp yupo kwenye touchline. Slot ameongeza tuvitu vitu hivi kiasi flow inakuwa nzuri zaidi na tunapitia hata katikati kutafuta magoli.
Jana tulifanya kila kitu kwa usahihi kuliko Milan, shinda mipira mingi ya pili, shinda mipira mingi ya juu, piga pasi kwa usahihi, kuwa sehemu sahihi kwa wakati sahihi, usiwepo mvivu kati ya 11 waliopo uwanjani, na mengine yatajileta yenyewe.
This is how we won vs Milan plus history yetu vs Milan as i said before the game, na historia yetu na ardhi ya Italia.
Wakati wa kuzuia wote tulitumia 4-2-4 utofauti ulikuja hapa, Milan walitumia kubana 4 yao ya mbele wakawa kama square hivi wanne wa mbele walitengeneza umbo la box hivi, bahati mbaya sikupata picha ya haraka, na LFC wao kama kawaida ni flat 4,
View attachment 3099532
Hatukuwapa uhuru wafurahie muundo wako kwa kuanzia mashambulizi kutoka kwa CB’s kwenda kwa MF wao. Ilikuwa waache waanze GK kwa CB’s ila kuanzia hapo tunaanza kuwapress and it worked untill it was 1-3. Again Gravern did clean and dirty, this guy ameelewa vizuri anachokihitaji Slot, Macca,Szobo were phenomenal. Salah was unlucky he could easily had two goals yesterday. Tsimi excellent if you get the chance show it.
Kuna muda mchezaji anahitaji maneno tu kuambia “hey you have huge talent why don’t you show that to the world of football?” Hiki ndicho naamini Slot alimpa Gravern kabla ya “how to play” double pivot suit him alot.
Goli walilofunga Milan tulisinzia, Tsimikas caught off na hamna aliyenusa hatari ile mapema, tukamsindikiza Captain America akafanya yake.
Gakpo what a player, nahisi Slot ameamza kupata idea kuhusu LW kule, Gakpo natural position yake ni LW na sio aliyokuwa anapewa last season ST (with false role), RCM, his strength ni atokee pembeni.
Kilichonifurahisha kuhusu mechi ya jana, ni “NIA YA WACHEZAJI”. After NF match niliona kama wachezaji were not ready for Slot, niliwaza itakuwa bad sign, but hell no i was wrong. Nilisema nitasema jambo baada ya game ya Milan, na ndio hili, how will Slot prepare his men’s mentality?? Kuna tu maneno aliwaambia after NF defeat and before Milan games, and we saw the reaction from there. Kila mchezaji alionesha nia ya kupambana kwa ajili ya Slot na kwa ajili ya Klabu.
Same to Klopp’s era nje ya mbinu alikuwa anawajaza maneno ya ujasiri sana wachezaji, ukiangalia line up ya timu kama City na yetu kuna utofauti mkubwa in term of quality ila kikipigwa huo utofauti hauuoni. Hiki ndicho nilitamani kukiona jana, and 100% i had seen it.
Slot ni kocha msikivu na mjifunzi”, na hiki kitamfikisha mbali,
Who thought Gakpo and Tsimi would start?? See his subs?? Hiyo ni kuhusu kelele za rotation iliyopigwa after last game.
Beautiful football, we did what we usually do tukiwa Italy most of the time, good players mentality, good reaction from Slot and his armies, fans vibe,
We are waiting for b’mouth.
Up Liverpool, up reds
Go Slot
YNWA