Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.......last laugh n lots of Italian cigars haha Pep huyo.Last season ndio ugonjwa wetu miaka yote tuliyokosa ubingwa kwa points kadhaa au kutema ubingwa kama last season tukiwa kwenye good point ya kuubeba. Late january - April tutaona tutakuwa wapi”,.
YNWA
Mkuu umecheki kweli Bono chini ya Andon Iraola Sagarna minus Solanke tu hayupo lakin usiwachukulie powa sana... Hii gemu Endo Hapana 🙈🙈🙈kama sub sawa🤣Sure, Gakpo alichofanya jana kitamfanya Diaz aamke na kuona Nikizembea narudi bench.
Rotation ndio inakupa other options, kuna mechi Gravern itabidi apumzike tu, try Macca and Endo, thou Endo confidence went down, ila kuiamsha give him enough time. There were match mpe min Jones and Gravern, Jones and Macca. Game kama ya B’mouth you have nothing to fear wape kina morton some good mins, Chiesa and the likes ambao hawajapata good mins both national team and Club, kuwa na good squad management.
Hao wanaomsubiri Slot avurunde waje kusema theirs otherwise, wanajichelewesha tu, kuna muda lazima ukosee ili ujifunze, kama game vs NF. Slot will cook.
YNWA
.......last laugh n lots of Italian cigars haha Pep huyo.
Survival of the fittest elimination of the weakest.....
.... Lads can do better... Tufungwo yes chache ila sare zisiwepo aisee.
YNWA
Mkuu umecheki kweli Bono chini ya Andon Iraola Sagarna minus Solanke tu hayupo lakin usiwachukulie powa sana... Hii gemu Endo Hapana [emoji85][emoji85][emoji85]kama sub sawa[emoji1787]
YNWA
Umeanza mambo yako sasaAisee
Jamani
Ajitolee mtu aninunulie hii jezi jamani[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Ikiwa #66 itapendeza zaidi
Acha kiherehereMimi nakununulia size gani unavaa
Sawa lkn wewe ni nani mpaka useme huyo Siro T ni kocha msikivu alikusikia nini ?Welcome to the CL Mr. Arne Slot.
Kuna muda unaangalia mechi inahisi bado Klopp yupo kwenye touchline. Slot ameongeza tuvitu vitu hivi kiasi flow inakuwa nzuri zaidi na tunapitia hata katikati kutafuta magoli.
Jana tulifanya kila kitu kwa usahihi kuliko Milan, shinda mipira mingi ya pili, shinda mipira mingi ya juu, piga pasi kwa usahihi, kuwa sehemu sahihi kwa wakati sahihi, usiwepo mvivu kati ya 11 waliopo uwanjani, na mengine yatajileta yenyewe.
This is how we won vs Milan plus history yetu vs Milan as i said before the game, na historia yetu na ardhi ya Italia.
Wakati wa kuzuia wote tulitumia 4-2-4 utofauti ulikuja hapa, Milan walitumia kubana 4 yao ya mbele wakawa kama square hivi wanne wa mbele walitengeneza umbo la box hivi, bahati mbaya sikupata picha ya haraka, na LFC wao kama kawaida ni flat 4, View attachment 3099532
Hatukuwapa uhuru wafurahie muundo wako kwa kuanzia mashambulizi kutoka kwa CB’s kwenda kwa MF wao. Ilikuwa waache waanze GK kwa CB’s ila kuanzia hapo tunaanza kuwapress and it worked untill it was 1-3. Again Gravern did clean and dirty, this guy ameelewa vizuri anachokihitaji Slot, Macca,Szobo were phenomenal. Salah was unlucky he could easily had two goals yesterday. Tsimi excellent if you get the chance show it.
Kuna muda mchezaji anahitaji maneno tu kuambia “hey you have huge talent why don’t you show that to the world of football?” Hiki ndicho naamini Slot alimpa Gravern kabla ya “how to play” double pivot suit him alot.
Goli walilofunga Milan tulisinzia, Tsimikas caught off na hamna aliyenusa hatari ile mapema, tukamsindikiza Captain America akafanya yake.
Gakpo what a player, nahisi Slot ameamza kupata idea kuhusu LW kule, Gakpo natural position yake ni LW na sio aliyokuwa anapewa last season ST (with false role), RCM, his strength ni atokee pembeni.
Kilichonifurahisha kuhusu mechi ya jana, ni “NIA YA WACHEZAJI”. After NF match niliona kama wachezaji were not ready for Slot, niliwaza itakuwa bad sign, but hell no i was wrong. Nilisema nitasema jambo baada ya game ya Milan, na ndio hili, how will Slot prepare his men’s mentality?? Kuna tu maneno aliwaambia after NF defeat and before Milan games, and we saw the reaction from there. Kila mchezaji alionesha nia ya kupambana kwa ajili ya Slot na kwa ajili ya Klabu.
Same to Klopp’s era nje ya mbinu alikuwa anawajaza maneno ya ujasiri sana wachezaji, ukiangalia line up ya timu kama City na yetu kuna utofauti mkubwa in term of quality ila kikipigwa huo utofauti hauuoni. Hiki ndicho nilitamani kukiona jana, and 100% i had seen it.
Slot ni kocha msikivu na mjifunzi”, na hiki kitamfikisha mbali,
Who thought Gakpo and Tsimi would start?? See his subs?? Hiyo ni kuhusu kelele za rotation iliyopigwa after last game.
Beautiful football, we did what we usually do tukiwa Italy most of the time, good players mentality, good reaction from Slot and his armies, fans vibe,
We are waiting for b’mouth.
Up Liverpool, up reds
Go Slot
YNWA
Unataka makombe wewe kama nani ?Yeye kama anaona timu inatosha sawa.
Sisi tumachotaka ni makombe.
Asije akarudia utoto wa Klopp
Kujidai baba miujiza yeye mzee wa yasiyowezekana kushinda bila kikosi kipana.
Wewe mayunga mkeo humpendezeshiPoa njoo pm
Japanese Caicedo atakava nafasiMajeruhi yakianza
Tunapoteana
Tunaanza tena stori zilezile.
Hapa akiumia tu VVD
Tumekwisha
Umeshalawitiwa wewe sio bureWewe mayunga mkeo humpendezeshi
Unataka kufa ?Umeshalawitiwa wewe sio bure
Huna marinda weweUnataka kufa ?
Sawa nakuhakikishia hizi ndio post zako za mwishoHuna marinda wewe
Huna marinda weweSawa nakuhakikishia hizi ndio post zako za mwisho
Unacheza na mtu mbadHuna marinda wewe
Huna marinda weweUnacheza na mtu mbad
Nakuhakikishia kukupeperusha kabla ya wiki hii kuisha waulize wenzako kama wewe
😂😂 dah wee jamaa huwa una vitukoUnacheza na mtu mbad
Nakuhakikishia kukupeperusha kabla ya wiki hii kuisha waulize wenzako kama wewe