Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Ngumu kusema ndio au hapana, ila kwa kuzingatia makubaliano yake na LFC na yake na RS, utaona anaweza kuwa na hali hiyo ya kujuta kujosa deal kama hilo. Angalia timu alizozikataa (Arsenal, Bayern and LFC) hawa ni timu kubwa sana ukilinganisha na alipo huko RS they are nowhere near kihistoria au na current performances.

LFC walimpa dau zuri, mara mbili ya anayolipwa pale plus bonuses, alikubali with all heart, ila sasa Hughes aka delay kutrigger RC yake, RS nao wakatumia mwanya huo wakata ajinunue of which itasomeka kama usaliti kwa klabu yake ya utotoni. (Angejengewa chuki na mashabiki wa RS and probably few wasio wa RS ila ni wahispania. Hence kulinda his tittle akaona abaki tu na kukataa deal la kujiunga na LFC.

LFC were ready to tripple his salary and offer £140k plus bonuses, wakati RS anapokea £48k, again kwenye nafasi ya kubeba major trophies LFC a miles far than RS, chances ya kupata matangazo ya kibiashara yenye deals nono ni kubwa under LFC jersey than huko RS.

Bad thing kwake RS walimuahidi kumpa mkataba mpya na mnono. Currently RS yeye ni wa 6 kwenye highest top earners, wa kwanza analipwa
1. £108k
2. £ 80k
3. £58k
4. £52k
5. £ 51k
6. £48k (Zubimendi).

Lakini baada ya kuchomoa deal na LFC mambo yameenda kombo hakuna mkataba mpya unaojadiliwa juu yake na mkataba wake unaisha 2027.

Although RS president alisema kubaki kwa Zubimendi kwenye klabu yake ni mapenzi yake mwenyewe na klabu wala hakuna conditionals zozote alizotoa kuhusu kubaki kwake na mambo ya kupata mkataba mpya. Wakati deal na LFC likiendelea haya yalikuwa miongoni mwa makubaliano yao (new contract na advance salary structure yake).

Kwa mujibu wa Zubimendi alisema anapenda kubaki RS kwani atamiss kila kitu cha RS, ikiwemo milima iliyopo huko na ni klabu yake ya utotoni he would like to stay. Reason aliyoitoa its not reasonable kwangu hiyo buy out clause ndio ilimfunga tu hapo ili asionekane msaliti kwa RS.

Hivi unaamini mchezaji kukataa wakubwa wenzio, akakukubalia and all over a suddenly akageuza maamuzi wakati terms hazikubadilishwa na hao uliowakubalia??

We shall wait on january, as it said LFC hasn’t given up on him. Ila rejection za LFC sina kumbukumbu ni lini ilitokea rejection na baada ya muda tukarejea tena.

Up Liverpool
YNWA.
 
There will be possibility LFC will go back for Zubi’s deal, but but but we might see depature of Morton/and Endo (loan/sale) in the summer if we will seal this deal on the coming window (January).
But it will depend on the fitness of the club plus club’s performance, plus Slot’s demand.

YNWA
 
Sina hakika na hizi source za hizi taarifa kama kweli au ushahidi wa kimazingira especially kwa kua timu yake ipo nafasi ya 16 kwenye ligi baada ya kucheza gemu 4...
Hapa kuna jambo pengine kutoka kwa wakala wake akiwa push Sociedad waingie mezani kumpa mkataba mpya au wakala anatamani hizi dola za FSG nk nk ama dogo mwenyewe kashaona pale kufika levo za juu atachelewa sana.
Kimsingi sina hakika kama Liverpool watarejea maana ma Yankees hawana historia hio labda hii itakua ya kwanza.
Muda utasema. Mambo ni mengi.

YNWA
 
Kupumzika kwa kuingia second half, just some mins,. Not to start. I need to see full Endo yule wa vs City au vs Fulham. Hapo nitakuwa na utulivu kuangalia game akiwa kwenye starting eleven.

YNWA,
Hofu yangu ni pale kusikia Slot sio muumini wa rotation ki vile duh na huku Gravenberch ana soft bones hivyo management ya game time kwake ni crucial kwa maana dogo Morton na Endo wapewe dakika kuwajengea pia confidence hata wanapopata nafasi ya kuanza tuone kazi kazi...

YNWA
 
IF Man City are found guilty of all the charges, the trophies they won will go to the following clubs:

Premier League
1. Man United - 2012
2. Liverpool -2014
3. Liverpool - 2018
4. Liverpool - 2019
5. Man United - 2021
6. Liverpool - 2022
7. Arsenal - 2023

FA Cup
1. Stoke City - 2011
2. Watford - 2019
3. Man United - 2023

League Cup
1. Sunderland - 2014
2. Liverpool - 2016
3. Arsenal - 2018
4. Chelsea - 2019
5. Aston Villa - 2020
6. Tottenham - 2021

Soccer Bullet
 
Na ikawe hivyo though chance ya hili kutokea ni ndogo sana.
 
🔴🇺🇾 Arne Slot: “For sure Darwin Nunez will get his chance in the near future. We play a lot of games. He's fitter and fitter now”

“But he's in competition with Diogo Jota who in our and my opinion, has done really well in the last games”.
 
[emoji599] 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Trent Alexander-Arnold wants to buy FC Nantes, according to L’Équipé! 🟡🟢[emoji2962]

Trent and his consortium and have submitted a bid to purchase the club… and the bid is worth up to €140m.

“Though an English investment fund managed by his father, Trent wants to become the owner of Nantes”.
 
Nimeona hii comment sehemu nimecheka sana 🤣🤣🤣
Confused Player 😁

Bored of the mountains already? I thought he loved & would die for mountains of San Sebastián😂
 

Naam. Kuna muda hataweza kukwepa issue ya rotation kabisa. Why too many games injuries (God forbid), suspensions, fatigue. Ukilinganisha na alipotoka mechi ni chache na ushinda sio kama EPL.
Naamini Mazingira yatamfunza kwa namna yoyote.
 
Roberto Mancini, the former manager of Manchester City, has been linked to the 115 breaches of financial rules that the club is currently facing. According to reports, Mancini allegedly received secret payments from the club during his tenure from 2009 to 2013 ¹.

It's claimed that Manchester City created a loophole to hide these payments from the Premier League's Financial Fair Play (FFP) regulations. Mancini and Yaya Touré, another prominent figure implicated in the scandal, have denied any knowledge of wrongdoing ¹.

The allegations against Manchester City include:

  • 54 charges of failure to disclose accurate financial information: The club allegedly failed to provide necessary financial information to the Premier League between 2009 and 2018 ¹.
  • 14 charges for failure to provide accurate reports for player and manager payments: Manchester City is accused of hiding payments made to players and managers, including Mancini, between 2009 and 2016 ¹.
  • 35 charges of failing to comply with Premier League conduct investigations: The club allegedly failed to cooperate with investigations between 2018 and 2023 ¹.

Mancini's involvement in the scandal has raised questions about his knowledge of the secret payments and whether he benefited from them. However, it's essential to note that both Mancini and Touré have denied any wrongdoing ¹. The outcome of the trial will determine the severity of Manchester City's punishment, which could range from a fine to expulsion from the Premier League.
 
Mi namlaumu klopp na wachezaji wake tuu, walipotoka injury ndio tukaanza kupotea , inashangaza sana

Panic button was activated

Kuna debate “without Salah tulikuwa na free flowing football na goals were smoothly scored, aliporejea yeye momentum ikabadilika, waliporudi all seniors hali ikazidi kuwa tofauti”.

We needed composure after their return.

Binafsi niliona Klopp ameshindwa kutuliza timu pressure ilikuwa kubwa sana kwake pale tulipokuwa na chance ya kuchukua ubingwa. Kuthibitisha hili nanukuu maneno yake baada ya kuikos nafasi ya kwanza na ya pili.

“The pressure is off now. That's done. It would be really cool if we could play really good football again because obviously we were very tense in the last few weeks”.

Plus FATIGUE & INJURY ni sababu ya kuutema ubingwa ukiwa mikononi mwetu.
But sikulaumu sana, ukumbuke tulikuwa na four new faces kwenye MF na wakatupa surprise kama ile.

Same this season Slot may surprise us with something.

YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…