The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,168
- 10,184
Ngumu kusema ndio au hapana, ila kwa kuzingatia makubaliano yake na LFC na yake na RS, utaona anaweza kuwa na hali hiyo ya kujuta kujosa deal kama hilo. Angalia timu alizozikataa (Arsenal, Bayern and LFC) hawa ni timu kubwa sana ukilinganisha na alipo huko RS they are nowhere near kihistoria au na current performances.
LFC walimpa dau zuri, mara mbili ya anayolipwa pale plus bonuses, alikubali with all heart, ila sasa Hughes aka delay kutrigger RC yake, RS nao wakatumia mwanya huo wakata ajinunue of which itasomeka kama usaliti kwa klabu yake ya utotoni. (Angejengewa chuki na mashabiki wa RS and probably few wasio wa RS ila ni wahispania. Hence kulinda his tittle akaona abaki tu na kukataa deal la kujiunga na LFC.
LFC were ready to tripple his salary and offer £140k plus bonuses, wakati RS anapokea £48k, again kwenye nafasi ya kubeba major trophies LFC a miles far than RS, chances ya kupata matangazo ya kibiashara yenye deals nono ni kubwa under LFC jersey than huko RS.
Bad thing kwake RS walimuahidi kumpa mkataba mpya na mnono. Currently RS yeye ni wa 6 kwenye highest top earners, wa kwanza analipwa
1. £108k
2. £ 80k
3. £58k
4. £52k
5. £ 51k
6. £48k (Zubimendi).
Lakini baada ya kuchomoa deal na LFC mambo yameenda kombo hakuna mkataba mpya unaojadiliwa juu yake na mkataba wake unaisha 2027.
Although RS president alisema kubaki kwa Zubimendi kwenye klabu yake ni mapenzi yake mwenyewe na klabu wala hakuna conditionals zozote alizotoa kuhusu kubaki kwake na mambo ya kupata mkataba mpya. Wakati deal na LFC likiendelea haya yalikuwa miongoni mwa makubaliano yao (new contract na advance salary structure yake).
Kwa mujibu wa Zubimendi alisema anapenda kubaki RS kwani atamiss kila kitu cha RS, ikiwemo milima iliyopo huko na ni klabu yake ya utotoni he would like to stay. Reason aliyoitoa its not reasonable kwangu hiyo buy out clause ndio ilimfunga tu hapo ili asionekane msaliti kwa RS.
Hivi unaamini mchezaji kukataa wakubwa wenzio, akakukubalia and all over a suddenly akageuza maamuzi wakati terms hazikubadilishwa na hao uliowakubalia??
We shall wait on january, as it said LFC hasn’t given up on him. Ila rejection za LFC sina kumbukumbu ni lini ilitokea rejection na baada ya muda tukarejea tena.
Up Liverpool
YNWA.