Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mmh
 
Overloading the central channel is one of Slot's new tactical features at #LFC! 🧐

Using the 'minimal width concept', they created a 7v3 situation inside the marked area when Quansah had the ball at his feet - this allowed them a lot of pass-options & combinations! 🔥

 
The MoNA unaielezea vipi hii tactic mpya ya Arne Slot

Kwenye possession football, unahitaji kuwe na nafasi ndogo kati ya mchezaji na mchezaji, na patterns kuziunda kwa haraka sana. Kumbuka its about SPACE & TIME, mkiwa mbali mbali mnaweza kupoteza mpira kwa haraka, mnaweza msiwe na accurate passes plus hamuwezi kufanya combination play.

Sasa Arne anaamini eneo zuri la kuuchezea mpira, ni kwenye quarter ya opponent na utaweza kufanya hivyo uki overload kwenye eneo hilo. Ndio maana unaona wachezaji wanakuwa karibu karibu, plus inawatunzia energy yao kwani hamkimbizani, hapo hapo mnakuwa wengi kiasi cha kuuchezea mpira kwa muda mrefu.
 
The MoNA unaielezea vipi hii tactic mpya ya Arne Slot

Again, ukiangalia kwenye hiyo picha kuna triangle mbili hivi zinaonekana, its a combination play. Tofauti na few seasons huko nyuma, hatukuwa na ukaribu ukaribu baina ya mchezaji mmoja na mwingine, ndio mana highline imetuhathiri kwa kupata injury sana, pressing high all the time imetuumiza sana, kwa sababu ni kukimbizana throttle full 90 min, na mpo mbali mbali kiasi, squad ndogo na mambo kama hayo.

Unajua Slot bado haja inject his Philosophy fully, why? Anajua kuondoa hiyo mentality waliyokuwa nayo over the past 4-6 yrs sio rahisi hivyo ina implement his philosophy gradually.

Issue inakuja je una hao wachezaji wa kuuchezea mpira, yes wapo Gravern, Szobo, Macca good MF, you have Jones (ila utoto mwingi), Elliot, Endo thats why unaona timu ina flow nzuri japo not to the fullest.

We need to add reliable MF’s (DM & CAM) and LCB…

YNWA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…