The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,168
- 10,184
Kama Bradley ana confidence Gomez anaikosaje?
Huwa naamini kwamba Gomez aliishia msimu wa 2019-2020 baada ya hapo hamnamo mtu
Tofauti ya Gomez na Bradley, ni seniority.
Gomez ameshakuwa first eleven under world class coach JnK, ameshakuwa kwenye top top performance.
Tofauti na Bradley ambaye anajitafuta na ameshaona inawezekana since last season, na season hii imeonesha hali kama ya last season. Gomez ameona hana nafasi kwa sababu alishakuwa top na akawa first 11, ila kwa sasa hali ni tofauti kwa season kadhaa toka apate ile injury.
YNWA