Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kama Bradley ana confidence Gomez anaikosaje?

Huwa naamini kwamba Gomez aliishia msimu wa 2019-2020 baada ya hapo hamnamo mtu

Tofauti ya Gomez na Bradley, ni seniority.

Gomez ameshakuwa first eleven under world class coach JnK, ameshakuwa kwenye top top performance.

Tofauti na Bradley ambaye anajitafuta na ameshaona inawezekana since last season, na season hii imeonesha hali kama ya last season. Gomez ameona hana nafasi kwa sababu alishakuwa top na akawa first 11, ila kwa sasa hali ni tofauti kwa season kadhaa toka apate ile injury.

YNWA
 
Diaz na Cody ni wachezaji wanaocheza nafasi moja lakini wanaokupa aina mbili tofauti za uchezaji wao. Na ndio maana hata Arne huwa kuna namna anatwist mfumo wa kucheza pindi anapotoka mmoja kuingia mwingine.

Sidhani kama wanapishana sana kiuchezaji, kwa mtazamo wangu. Decision making is what differentiate them.

YNWA.
 
IMG-20240926-WA0002.jpg

Namba 5 again😂😂😂

YNWA
 
If its was my vote wi wil say yes to Salah new contract give him 2 years and get his replacement before those 2 years... Not convinced by Chiesa playing RW as hier to Salah, Chiesa delivers better playing LW though now we have Diaz and Gapko on that side, Jota and Nunez in the middle thus wild card will be Chiesa...

May FSG make the best decision if Salah stays we are lucky cz to him age is just a number... But if they decide he is leaving basi tuone mbadala wa ukweli.. Tetesi ni Rodrygo wa Real Madrid, well that a long shot mate.

YNWA

Sijui kama itakuwa rahisi kumtoa Rodrygo pale Madrid kwa sasa.

Mikataba ya Trent, Salah na Vvd inaandaliwa hopefully…!!! Salah apewe season mbili mbele tupate muda wa kujipanga vyema.

Vvd give him 2 good years
Trent give him 5 yrs contract he is our scouser.

Chiesa alikuja kwa ajili ya price Tag na alichofanya huko nyuma. Unaona mechi kama ya jana alicheza na akatoa assist, of which kama tusingemsajili basi ilikuwa ni Salah au Diaz mmoja lazima angeanza.

It a good additiona for me, ila sio mbadala wa Salah labda ije otherwise.

Let's say ni conundrum pale Real Madrid brewing may be... Ipo hivi front guys pale Real Madrid ni Vinscios, Mbappe, Diaz, Endrick, Bellingham na Rodrygo.. meaning Liverpool are waiting in the flanks kuona kama Rodrygo will lack game time pale mahala aanze kuangalia plan B kwingine... Nwa we have been here before with Valverde when Liverpool we enticing the boy to quit tukaishia kubaki na akina Keita na Thiago... Scout department should be serious waache huu usanii... They should aim to viable options sio dili ngumu ngumu kama hizi...

YNWA
 
We have our own bald. Dawa ya moto ni moto kipara kwa kipara. Mpaka dec huko gari litakuwa limekolea.
😂😂😂😂By the way.... I really think Chelsea are back in the mix... Sio tena 2 horse race ya Manchester City na Arsenal as many thought hapana hapana the race is quite entertaining now Liverpool Chelsea Manchester City na Arsenal have a chance aisee..

Kipara is now slowly understanding the needs and tweaking the formation depending with the opponent...

YNWA
 
Kumbe ndio style yake
Tumekwisha

Hivyo ndivyo alivyo na ndio style yake ya uchezaji. Anayataka magoli hasa akiwa pale Anfield. Atleast hizo long range shots zinakuwa on target its a good sign.

Atakuja kukaa sawa. Anatafuta fitness.
YNWA
 
Let's say ni conundrum pale Real Madrid brewing may be... Ipo hivi front guys pale Real Madrid ni Vinscios, Mbappe, Diaz, Endrick, Bellingham na Rodrygo.. meaning Liverpool are waiting in the flanks kuona kama Rodrygo will lack game time pale mahala aanze kuangalia plan B kwingine... Nwa we have been here before with Valverde when Liverpool we enticing the boy to quit tukaishia kubaki na akina Keita na Thiago... Scout department should be serious waache huu usanii... They should aim to viable options sio dili ngumu ngumu kama hizi...

YNWA

We could sanction rodrygo’s deal those days, but he rejected us. Very cheap £3M, hii ilikuwa behind the scene. Haikuwa announced sidhani kama kops wata mind deal likifanyika.

Hata ujio wa Mbappe, ni kama Perez alitaka kumtoa Rodrygo ila wakasubiri kuona msimu huu itaendaje wakiwa na hao wote. Ujio wa Mbappe umevuruga everything kwa baadhi ya wachezaji. Belligham na Rodrygo, so huenda kuna kutolewa mmoja kafara next season kama mambo yataenda ndivyo sivyo.

Lets see

YNWA.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]By the way.... I really think Chelsea are back in the mix... Sio tena 2 horse race ya Manchester City na Arsenal as many thought hapana hapana the race is quite entertaining now Liverpool Chelsea Manchester City na Arsenal have a chance aisee..

Kipara is now slowly understanding the needs and tweaking the formation depending with the opponent...

YNWA

Enhee..!!! Tough season ahead halafu kuna waharibu sherehe;-

—>Brighton
—>Spurs
—>Aston villa
—>Newcastle
—>Man utd

YNWA
 
Kumbe ndio style yake
Tumekwisha

Hatari huyo jamaa ila ACL imemuharibu sana , ngumu kurudi kule alipokuwepo ila anaweza kufikia nusu. Akiwa kwenye ubora wake tuliambiwa tutoe £100m tukakimbia nusu tuvunjike miguu…

Though last season alicheza mechi nyingi na kwa ubora kuliko wachezaji wetu wengi ile front three.

YNWA.
 
Back
Top Bottom