Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekuwa fantasize sasa 😃😃😃Yule wa jezi ya pili nyeusi
Iwe namba 18🔥🔥🔥🔥
Gakpo Aziz K mtupu Kwa mashuti😍😍😍🔥🔥🔥🔥
I love you Cody😍😍
Dogo kwenye mashuti hakuna anayemfikia🔥🔥Umekuwa fantasize sasa 😃😃😃
TAA
KELLEHER
GAKPO
VVD ni Mwamba
Watoto wa afu2 bhana mawazo yenu[emoji23]
Nunez
Diaz
Wangekuwa na akili kama za Jota
Wangekuwa mbali sana
Jota[emoji7][emoji7][emoji7][emoji91][emoji91]
YNWA
Matukio kama haya anayofanya kelleher huwa hamuyaoni kabisa
Angekuwa namba Moja wenu hapa lilikuwa ni goli tayari
Umemuona Kaka Mchungaji Gakpo ? Saint Anne ???
Mkuu The MoNA tunaomba analysis aisee.
Boom [emoji91][emoji91][emoji91]
The MoNA
Umemuona mdogo wangu Cody?
By the way tetesi ni kwamba ma scouts wameshamtupia macho mara kadhaa huyu mwamba... Anajituma sana tu yaani ni Liverpool type of player... Namkumbali sana huyu bwana mdogo.[emoji81][emoji81] he can be better player, so he will Salah’s replacement or kaimu mkuu wa Salah,.?? Anahitaji kuwa understudy wa Salah?? Kwa mie big no huyu ni established already.
Im no wondering why Salah hatolewi sub hasa kama hajafunga. Mbali ya kutupa muda mzuri awapo uwanjani, ila jamaa ni egoistic. Ndio mana Slot hataki kiharibu rythym ya team kwa ajili ya jamaa. Anajaribu kuilinda dressing room kwa kila hali. Namuelewa sana Slot anavyo deal na Salah.
So nahisi huenda wenye maamuzi wakaamua vinginevyo na tusiwe na Salah next season kwa free au kuuzwa.
YNWA