zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 11,075
- 9,263
Huyo viwanja vyake KIBO ZONE, ntakutana nae tu siku ntakujulisha 😁Haya, tutakuja kupata ka ukweli siku zijazo.
YNWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo viwanja vyake KIBO ZONE, ntakutana nae tu siku ntakujulisha 😁Haya, tutakuja kupata ka ukweli siku zijazo.
YNWA
We kijana wa miaka 40Huyo viwanja vyake KIBO ZONE, ntakutana nae tu siku ntakujulisha 😁
Kama una 30 tu
Nimekuzidi miaka zaidi ya 20[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo viwanja vyake KIBO ZONE, ntakutana nae tu siku ntakujulisha [emoji16]
We kijana wa miaka 40
Andaa shkamoo yangu kabisa ya kunipa tukionana.
Mona amekuwa Mbishi sana
Tumalizee huu utata Kwa kuonana naye.
Kocha wa hiki kinyang'anyiro awe mzee mwenzangu Ngwaba.
Shauri yako😂😂😂😂Wenye no. Hizo hawasemi maneno hayo, wanatulia tu. Mwili unajielezea yaliyomo.
YNWA
Picha zangu mbona zipo nyingi humuMapema tu.
Umuwambe na picha kidogo ya ushahidi tumalize mjadala.
Nikikuonyesha nida yangu utanipa hela ngapi kama fidia ya ubishi wako?Naam. Refa yeyote tu yule ila hapo kwenye alfu 2 mpaka mahakama iingilie ndipo nitatengua kauli”,.
YNWA
Bryan Mbuemo to Liverpool here we go 2025😂😂😂🙌🙌🙌🙌
unasubiri nini totoo?😂Nasubiri
YNWA
I miss you BobbyBryan Mbuemo to Liverpool here we go 2025😂😂😂🙌🙌🙌🙌
YNWA
Picha zangu mbona zipo nyingi humu
Mzee wa 70 mimi
Nikikuonyesha nida yangu utanipa hela ngapi kama fidia ya ubishi wako?
Weka dau nijue kabisa naondoka na sh ngapi😂😂😂Sasa mpaka mambo ya kulipwa ndio ubishi uishe mpaka hapa nimeshashinda tayari.
Kama nikiweka dau nitaamini vipi ni wewe?? Unaweza kuweka cha mama Saint Anne.
Uzi una miaka na miakaTag me.[emoji1431]
Bryan Mbuemo to Liverpool here we go 2025[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
YNWA
unasubiri nini totoo?[emoji23]
Weka dau nitoe uthibitishoUthibitisho wa im not alfu mbilinism member.
Weka dau nitoe uthibitisho
Anyway
Ntakuonyesha nida yangu Mona usijali..
Ila siwezi kuianika hapa