Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

We kijana wa miaka 40
Andaa shkamoo yangu kabisa ya kunipa tukionana.

Mona amekuwa Mbishi sana
Tumalizee huu utata Kwa kuonana naye.
Kocha wa hiki kinyang'anyiro awe mzee mwenzangu Ngwaba.

Naam. Refa yeyote tu yule ila hapo kwenye alfu 2 mpaka mahakama iingilie ndipo nitatengua kauli”,.

YNWA
 
Sasa mpaka mambo ya kulipwa ndio ubishi uishe mpaka hapa nimeshashinda tayari.


Kama nikiweka dau nitaamini vipi ni wewe?? Unaweza kuweka cha mama Saint Anne.
Weka dau nijue kabisa naondoka na sh ngapi😂😂😂
 
Bryan Mbuemo to Liverpool here we go 2025[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

YNWA

[emoji81][emoji81] he can be better player, so he will Salah’s replacement or kaimu mkuu wa Salah,.?? Anahitaji kuwa understudy wa Salah?? Kwa mie big no huyu ni established already.

Im no wondering why Salah hatolewi sub hasa kama hajafunga. Mbali ya kutupa muda mzuri awapo uwanjani, ila jamaa ni egoistic. Ndio mana Slot hataki kiharibu rythym ya team kwa ajili ya jamaa. Anajaribu kuilinda dressing room kwa kila hali. Namuelewa sana Slot anavyo deal na Salah.

So nahisi huenda wenye maamuzi wakaamua vinginevyo na tusiwe na Salah next season kwa free au kuuzwa.

YNWA
 
Back
Top Bottom