Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu umechukua mikoba ya sheikh yahya nn?

Hapana mkuu,bali naijua Liverpool yangu ikiwa kwenye peak na naijua ikiwa hovyo kama hivi sasa!!

Jumamosi na Stoke City kama atampa SG free role,thenMoreno na Manquillo pembeni, Lambert na Kolo waanze badala ya Lovren na Balo TUNASHINDA kiurahisi tu!!

Lkn yy atamrudisha Lovren,Balo na anaweza hata akamuanzisha tena GJ na hapo tukijitahidi sana ni sare
 

Balo hachrzi kesho

hajapona
 
Akimpa free role SG na kolo acheze na Skrtel tunashinda kiurahisi tu leo

Stoke wagumu sana, wakubwa na wana nguvu, and our team wana wachezaji wengi small and easily bullied

Tunahitaji Emre acheze instead of Je Allen and Lucas aanze na Emre Hendo aende namba nane, Gerro namba kumi and Lambert au Borini

I would start Cou on the bench
 

Pembeni Manquillo na Moreno!!

Aachane kabisa na GJ
 
Pembeni Manquillo na Moreno!!

Aachane kabisa na GJ
sijui kwanini anampanga GJ

But one thing for sure, SG alimpanga GJ kama his best/most favourite team mates, so huwezi juwa, maybe SG kama captain ana role ya kumweka GJ
 
sijui kwanini anampanga GJ

But one thing for sure, SG alimpanga GJ kama his best/most favourite team mates, so huwezi juwa, maybe SG kama captain ana role ya kumweka GJ

GJ mpe mechi zenye noisy kama ya Man U week ijayo!

GJ bana daaah!Dakika 90 no tackle no cross no bambi
 
Hii timu bwana ni kichwa cha mwenda wazimu.....Niliwahi kusema hapa back in April kuwa imelaaniwa na Sir Alex Ferguson watu wakataka kujiua na wengine wakanitumia sumu kwa njia ya mtandao ila haikunipata. Hawa jamaa kila baada ya mika 5 au 6 wanakujaga na ile kasi ya mwaka jana mpaka mashabiki wanajisahau na kusema mwakani lazima tunachukua ubingwa. Ikifika mwakani ni wa 16 au chini zaidi, na bado nazidi kushangaa inakuwaje mpaka sasa mashabiki wake hawajifunzi tu. Jamani msiwe wajinga, someni alama za nyakati. Angalieni rekodi yenu toka Premier League ianzishwe, nyie kelele tu mpaka lini? Embu nendeni mkajichambe huko.
 
Mignolet
GJ
Enrique
Kolo
Skrtel
Lucas
Coutihno
Hendo
Lambert
Allen
Sterling
Subs:Jones,Lovren,Moreno,Lallana,SG,Markovic,Can
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…