Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesho ugenini kwa Lugo sidhani kama tutapata maximum points!
Kwa upangaji wa BR tukijitahidi sana ni sare!!
Man City utumbo tu kaka!Hata watolewe watatu bado hamfungi Bayern
Pellegro nae siku zake zinahesabika
inabidi ule haya maneno yako..
......upo au unaangalia screen nyuma ya kochi"Wakubwa" waliongea halftime kama nyie mnavyo ongea na Del Bosque ili asiwaite akina Costa team ya Taifa!
Soka la sasa ni full conspiracy na muanzilishi wa haya mambo ni Mourihno
2merudisha
Sinking ship!
Leo tumejitahidi sana hasa ukichukulia tulikuwa ugenini lkn ni wakati mzuri sasa keeper Mignolet akatafutiwa mbadala wake!!
Mpira mbovu sana tumecheza sijawai ,nionavyo tuishie hapa tu mapema la sivyo ukutokea tukashinda mechi ya mwisho huko mbele tutapata aibu zaidi.
Kesho ugenini kwa Lugo sidhani kama tutapata maximum points!
Kwa upangaji wa BR tukijitahidi sana ni sare!!
Naona maneno yako yametimia mkuu
Mechi tano tumefungwa Nne na droo ya jana
Naona maneno yako yametimia mkuu