Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Wewe ni mdogo wangu tuBado haijanifikia, nataka nione hiyo shikamoo inavyotoka”,.
Kucheza au kutokucheza kwa mchezaji kunatokana na falsafa ya mwalimu na maono yake plus mchezaji mwenyewe namna anavyofanya na kumshawishi mwalimu kwenye viwanja vya mazoeziKwenye double pivot anaweza kukaa vizuri zaidi,.
Sema yule Paqueta mtu sana.
YNWA
Wewe ni mdogo wangu tu
Kucheza au kutokucheza kwa mchezaji kunatokana na falsafa ya mwalimu na maono yake plus mchezaji mwenyewe namna anavyofanya na kumshawishi mwalimu kwenye viwanja vya mazoezi
Japanese samurai alishatuonesha ni mchezaji wa Aina gani since last season
Kuna muda unaweza ukawa mchezaji mzuri ila mwalimu asikuelewe ila akaja kumuelewa mwingine
Slot alipokuja alikuta timu Ina struggle kwenye eneo la defensive miedfield
Lakini swali la kujiuliiza...wataru sio defensive ?
Jibu liko wazi ni defensive
Lakini swali la pili, je mwalimu anataka defensive wa Aina gani?
Siku hz walimu wengi wanapenda defensive miedfield ambae ataweza kulink na AMs pale timu inapofanya transition
Ukiangalia Ryan Ana link vizuri sana kutokea deep(eneo lake ) kwenda front with the support from szobo n macca kitu ambacho wataru Ana weakness nacho
Lakini je hatumhitaji wataru? Jibu no
Tunamhitaji sana mtu mwenye kufanya kazi chafu kwa wakati fulani.
(Rodri) pale man city anafanya kazi chafu ili kuwapa uhuru kina gundo na wenzie kuidrive timu na yye pia akiwa pembeni yao
Kuna mechi utahitaji mtu wa kazi chafu ili kuwalinda vvd na konate
Wataru hata asipoanza ila ni back up ya maana sana tulonayo benchi
Arne Slot on Salah, van Dijk and Mo Salah contract talks: “I’m very happy to have them in my team!”.
“Let's see what the future brings”.
Wanaosubiria Salah aondokeArne Slot on Salah, van Dijk and Mo Salah contract talks: “I’m very happy to have them in my team!”.
“Let's see what the future brings”.
Anataka kupishana na goli kipa ghali duniani,au hajui kama yuko liverpool nini? hao wengine wakiwepo golini bado tunawasiwasi,kuliko allison. allison akiwepo golini tuna sema leo tupo full mkoko yoyote aje tu.Kelleher bado hauwezi kumuanzisha ikiwa Allison yupo sawa, na uwezo wake kwa Liverpool fc bado anastahili kuwa 2nd golie kwasababu bado ana mengi ya kuendelea kujifua ili awe namba moja kwa Liverpool fc.
He can be a first choice somewhere else kwa sababu hiyo quality anayo lakini sio kwa Liverpool fc, ingekuwa kipindi cha akina Chris Kikland absolutely angekuwa namba moja lakini sio hii ya Allison Becker
Umuaminishe kwa picha sio maneno tu😂Wewe ni mdogo wangu tu
Full mkoko anapigwa magoli ya kijinga na AsenoAnataka kupishana na goli kipa ghali duniani,au hajui kama yuko liverpool nini? hao wengine wakiwepo golini bado tunawasiwasi,kuliko allison. allison akiwepo golini tuna sema leo tupo full mkoko yoyote aje tu.
Atume kwanza yakeUmuaminishe kwa picha sio maneno tu😂
Nimekuonea huruma nikupe hata udogo wangu ila bado unabisha.Heheh nilijua tu pole pole, inashuka ilianza bibi, ikaja mama, ikaja mama mdogo, sasa hivi mdogo wangu”,.. Tumeanza kutembea njia moja sasa, ukingoni hakupo mbali.
YNWA
Kama Cassilas, Van Der Sir na Giggi walikuwa wanafungwa yeye ni nani asifungwe?Full mkoko anapigwa magoli ya kijinga na Aseno
mona sababisha kwenye PM yakeAtume kwanza yake
Nitamwambia kama yeye ni mdogo wangu, mwanangu, au mjukuu wangu.
Mie avatar yangu ni picha yangumona sababisha kwenye PM yake
Shida siyo kufungwaKama Cassilas, Van Der Sir na Giggi walikuwa wanafungwa yeye ni nani asifungwe?
Hakuna kipa asiyefungwa duniani
Hili la ziada nadhani unamuonea tu Klopp. Unless hukuona kiwango cha Ryan alipokuja toka Bayern, as he had no match fitness to make him fit to be a regular starter, plus he got an injury which put him out for a while. Kwamba hukumbuki hata Ryan aliomba kuachwa national team ili atengeneze fitness??Good observation brother.
Kwa ufupi, Slot prefer ball carriers, wenye uwezo wa kucheza with a tight space, kitu ambacho wa wataru hajakiona and hauwezi kumlaumu kocha. Gravern tunayemuona ni mtu sana kwa sasa, under previous manager alionekana ni mchezaji wa ziada tu, he was like mouse cup player, all of a sudden kwa Wataru imekuwa vs ya Gravern this season.
Slot system is not favouring Wataru’s play style. But he can play very well though.
YNWA
Umuaminishe kwa picha sio maneno tu[emoji23]