Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


It will never come to work kwenye 2-1 shape under Klopp. Hata Slot akimvhezesha Gravern 2-1 shape anapwaya sana.

Yes alikuja bila match fitness, je alionesha ubora wowote under Klopp jibu ni hapana. Gravern amekaa na Klopp whole season hata kama ni match fitness hakuwa nayo, imechukua mida mrefu sana. Sijamlaumu Klopp kwa chochote kile kuhusu Gravern ila nampongeza Slot. Kama hauoni chochote alichokifanya Slot kwa Gravern basi utachelewa sana kumuona Slot kama ni kocha mzuri.

Yes alitoka Bayern akiwa no one, akaja LFC akaendelea kuwa no one, je ameendelea kuwa no one?? Jibu ni hapana amekuwa mchezaji muhimu sana kwa sasa. Slot alichoona Gravern he is no near lone 6, thats why double yake inapigwa na Macca ambaye nae he is no near lone 6. Ujio wa Zubimendi could have changed alot, wangepokezana Szobo na Gravern then double ingepigwa Macca & Zubi,

Slot hajamuibua Gravern, but he has amplified him kutoka yule wa Ajax…!!! I can assure you kama tungekuwa na Klopp, Gravern angeendelea kuwa yule yule wa Bayern na LFC. Its like Konate alivyoongezeka ubora kwenye upigaji wa pasi then uignore effort ya Slot kwenye hili eneo.
Ni vile tu mambo mengi ni behind the scene, there is possibility Klopp didnt work enough na Gravern, which is not bad ni kawaida as human being kama tu Slot anavyofanya kwa Endo sasa hivi,.

YNWA.
 
The MoNA I agree with You Slot ana wa amplify sana Wachezaji wetu mfano Luis Diaz last season alikuwa na magoli 8 tu lakini mpaka sasa ana magoli 5 kwenye games 5.

Arne Slot on whether he worked with Diaz in any special way:

No, I don't think so. Especially with him. We train every day and we try to put the players in certain situations as often as possible and then help them, tell them what position to take in certain situations and what to do. It's mainly about playing in the last third of the field, using individual skills and finishing.

I think Luis has always had that and I didn't even know he scored eight league goals last season. For me he is someone who can always score a goal and eight goals is not exactly the kind of statistic you want to see from a striker of his quality. I think he is just getting back to his usual level. Maybe he was a bit unlucky last season but a player of his quality will always score a lot of goals every season.
 

Yeah thats how he worked on Gravern too. Sio kwamba ana mbinu sana kuliko Klopp ni kuongeza smaill detail tu kwa mchezaji na zinamwezesha kufanya vitu vyepesi.

Klopp did alot kuwa kuza wachezaji na kufikia level za juu kabisa but we can agree kuna angle alifeli pia kwa wachezaji kadhaa.

Slot anaweza pia akafeli big time kwa wachezaji fulani (wajao au waliopo) it happens kwa makocha, kikubwa wanaofanikiwa wawe wengi na wakupe mataji kifunika waliofeli.

Yes kama Diaz, Slot alisema ni goal scorer lakin anashangaa kwa nini hana magoli mengi per season??. Small details tu kwa mchezaji na anabadilika, do you think only tactics za Slot ndizo zimemsaidia Gravern?? Sometimes kuongea nae kuamshaka desire ya mchezaji, ambition yake inatosha kumfanya aone ooh I’m that person??

Ynwa.
 
Dah! Naona app za kustream live football zinazidi kufungwa tu.

Hebu wataalamu nipeni app zote ambazo bado zinarusha live football niangalie game ya leo yaani Wi-Fi bila ya kustream football ni hasara.

Jamani nahitaji app sio link ya website
 

Mie huwa naamini a good coach should take out the best from what he has. Yes i dont have natural no. 6 as i needed, ila unafanyaje kusolve hilo tatizo either kwa muda mfupi au mrefu?? Thats what Slot does. Macca sio natural 6 yes.! Gravern sio natural 6 yes.! Combine two of the with their strength, naweza kupata output nzuri. This is what i believe on football life, hata kwenye maisha ya kawaida tu.

‘Ynwa’
 
Dah! Naona app za kustream live football zinazidi kufungwa tu.

Hebu wataalamu nipeni app zote ambazo bado zinarusha live football niangalie game ya leo yaani Wi-Fi bila ya kustream football ni hasara.

Jamani nahitaji app sio link ya website

Mie hutumia Live football Tv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…