The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,168
- 10,184
Hili la ziada nadhani unamuonea tu Klopp. Unless hukuona kiwango cha Ryan alipokuja toka Bayern, as he had no match fitness to make him fit to be a regular starter, plus he got an injury which put him out for a while. Kwamba hukumbuki hata Ryan aliomba kuachwa national team ili atengeneze fitness??
So leo Slot anaonekana shujaaa kama vile kamuibua Ryan??[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tunasahau tu kwamba he had Zubimendi as his choice over what he saw in Ryan. So kama si failure ya usajili wa Zubimendi, now tungekuwa tunasemaje?? Kwamba Ryan angecheza mbele ya Zubimendi na Macca??
Nadhani tushukuru tu kwamba Ryan worked hard on his fitness during pre season and gave the coach what he wanted from Zubimendi. Maana Slot mwenyewe hakuona huo ubora wa Ryan kama kiungo wa chini no wonder he went for Zubimendi, alipomkosa akaamua kutumia resources alizo nazo
It will never come to work kwenye 2-1 shape under Klopp. Hata Slot akimvhezesha Gravern 2-1 shape anapwaya sana.
Yes alikuja bila match fitness, je alionesha ubora wowote under Klopp jibu ni hapana. Gravern amekaa na Klopp whole season hata kama ni match fitness hakuwa nayo, imechukua mida mrefu sana. Sijamlaumu Klopp kwa chochote kile kuhusu Gravern ila nampongeza Slot. Kama hauoni chochote alichokifanya Slot kwa Gravern basi utachelewa sana kumuona Slot kama ni kocha mzuri.
Yes alitoka Bayern akiwa no one, akaja LFC akaendelea kuwa no one, je ameendelea kuwa no one?? Jibu ni hapana amekuwa mchezaji muhimu sana kwa sasa. Slot alichoona Gravern he is no near lone 6, thats why double yake inapigwa na Macca ambaye nae he is no near lone 6. Ujio wa Zubimendi could have changed alot, wangepokezana Szobo na Gravern then double ingepigwa Macca & Zubi,
Slot hajamuibua Gravern, but he has amplified him kutoka yule wa Ajax…!!! I can assure you kama tungekuwa na Klopp, Gravern angeendelea kuwa yule yule wa Bayern na LFC. Its like Konate alivyoongezeka ubora kwenye upigaji wa pasi then uignore effort ya Slot kwenye hili eneo.
Ni vile tu mambo mengi ni behind the scene, there is possibility Klopp didnt work enough na Gravern, which is not bad ni kawaida as human being kama tu Slot anavyofanya kwa Endo sasa hivi,.
YNWA.