Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kati ya timu hukupaswa kuiogopa basi Wolves walipaswa kuwepo. Why?

1. Ni open play team.
2. Wanacheza mpira mzuri bila matokeo.
3. Hawana mwendelezo mzuri wa matokeo kwenye EPL.
4. We have good start so far.

Mengine yangetokea ya kimpira tu.
YNWA
Mi nawaogopa
Hawa wapuuzi kuna mechi walituhangaisha
Yanazuia njia hamfiki golini

Toka hapo nawaogopa.
 
Kati ya timu hukupaswa kuiogopa basi Wolves walipaswa kuwepo. Why?

1. Ni open play team.
2. Wanacheza mpira mzuri bila matokeo.
3. Hawana mwendelezo mzuri wa matokeo kwenye EPL.
4. We have good start so far.

Mengine yangetokea ya kimpira tu.
YNWA
Binafsi namna walivyokuwa wanacheza ikanilazimu nikaangalie msimamo wa ligi, nilichokuta sikukielewa kabisa. Mpira wao ni mkubwa mno.
 

Sure ila kwa LFC imekuwa tofauti recently na ilitokea 2013/2014 kipindi cha Brendan Rodgers, na under Klopp imetokea mara tatu hivi kama sikosei. Arsenal imemtokea pia.


Kipindi cha nyuma iliwezekana most of the time na ilikuwa inatoa determination ya timu, ikiwemo wachezaji wapya kuingia kwenye mfumo kwa haraka na kudeliver, less injuries, less suspensions, unlike miaka ya hivi karibuni.
 
Opta report

Yesterday Ryan Gravenberg became the first Premier League midfielder to complete 5+ tackles in a game with 100% success (8), make 3+ tackles with 100% success (3) and complete 50+ passes with 90%+ accuracy (57/62) since Sandro in Tottenham's game against Blackburn in April 2012.
#Another dominant midfield play πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Mi nawaogopa
Hawa wapuuzi kuna mechi walituhangaisha
Yanazuia njia hamfiki golini

Toka hapo nawaogopa.

It happens kwa mashabiki pale inatokea mechi imekuwa tight na kuhangaisha inapelekea hadi shabiki kuwa na uwoga nayo hata kama hawana kiwango ridhishi kwa wakati husika.

Binafsi Fulham ndio hiyo timu imeni torture.

Hawa jamaa bwana, walikuwa mwiba kipindi kile cha 2009-2013 hivi, kina Mark Schwarzer, Bobby Zamora, Dembele, Muphy, Riise, Dempsey mmarekani mmoja makini sana, Scott Parker ( kiungo flani wa kiingereza, mwenye mpira usio wa kiingereza), Hangeland (hapa alinikosha Charles Hillary kwenye ulimwengu wa soka wa bbc, Criiiiis Brede Hangeland) mwingereza mmoja mmerefu mwenye utulivu wake mguuni na kichwani. walijua kutuonea sana.

Wakitukuta tupo unga ni kipigo tu.



Season ya 2020/2021 tukiwa unga wakawa miongoni mwa timu zilizotudungua pale Anfield.

Pale Craven Cottage hatari sana, tukikutana huwa ni hot game mpera mpera.

Hapo sasa vijana wa Anfield kiungo ni Jay Spearing, Charlie Adam, kina Bellamy, bench mnamtegemea Stewart Downing aje afanye jambo. Na 4-4-2 diamond winga mbili kushoto na kulia viungo wenu wawili, striker wenu hapo ni Andy Caroll, 🫠
Ligi ikiisha point zenu 56 mmekusanya hapo kati ya 114. Hapo inawajua Chelsea, Arsenal na Utd kutoka EPL,

Na hapo uko macho mechi ya monday night football saa 22:00, dah.!! Lets β€œEnjoy The Ride”

Ynwa
 
Binafsi namna walivyokuwa wanacheza ikanilazimu nikaangalie msimamo wa ligi, nilichokuta sikukielewa kabisa. Mpira wao ni mkubwa mno.

They are playing good football, ila matokeo hawapati, Nafikiri Gary anapaswa kutwist some tactic ili timu ipate matokeo. Kwa mf. Apunguze aggressiveness all the time na kufanya mambo machache sana kwenye final third, pasi mpaka ndani ya 18 timu unakuta ipo wazi sana, ila wenyewe wamekomaa na patterns zao, na mpira wao ule ule,inawachelewesha sana.

Ynwa
 
Mpira unakuwaga na surprise

Yote tisa
Kumi ni kufungwa na Luton town
Ile fedheha haifutiki akilini
 
Same old Wolverhampton... On the contrary don't break what's has worked wonder so they say... Crystal Palace and Wolverhampton had a good ride last season and they have remained in that set up since by then its served nicely only that other teams have evolved.. Jana ingekua Liverpool ya JK sana sana tungetoka sare pale kama sio kipigo...
Gary nampa Mechi 3 kama hajaweza kuleta ushindi he is walking man.

YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…