Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
πππ
Hivi Malafyale amepotelea wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
πππ
Mi nawaogopaKati ya timu hukupaswa kuiogopa basi Wolves walipaswa kuwepo. Why?
1. Ni open play team.
2. Wanacheza mpira mzuri bila matokeo.
3. Hawana mwendelezo mzuri wa matokeo kwenye EPL.
4. We have good start so far.
Mengine yangetokea ya kimpira tu.
YNWA
Le CaptainπππΏ
Binafsi namna walivyokuwa wanacheza ikanilazimu nikaangalie msimamo wa ligi, nilichokuta sikukielewa kabisa. Mpira wao ni mkubwa mno.Kati ya timu hukupaswa kuiogopa basi Wolves walipaswa kuwepo. Why?
1. Ni open play team.
2. Wanacheza mpira mzuri bila matokeo.
3. Hawana mwendelezo mzuri wa matokeo kwenye EPL.
4. We have good start so far.
Mengine yangetokea ya kimpira tu.
YNWA
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi Malafyale amepotelea wapi
Kwanini aseme 19, na sio 20 au 26. Mara nyingi atakaeongoza ligi baada ya mechi 19 ndio atakae kuwa bingwa mara nyingi hizo mechi 19 inakuwaga christmas ,wengine wanasemaga ukiongoza tunaenda Christmas wanakutabilia utachukua ubingwa.
raundi ya kwanza inaisha baada ya mechi 19, baada ya hapo inakuwa marudiano tu.
πππππAlikuwa shabiki wa Klopp na Henderson, hawapo atashabikia nini?!
Ynwa
π€£π€£π€£Huku spurs anamkaanga nyumbu kama maandazi
Mi nawaogopa
Hawa wapuuzi kuna mechi walituhangaisha
Yanazuia njia hamfiki golini
Toka hapo nawaogopa.
Na jam kapakwaπ€£π€£π€£
Ndio kusema Nyumbu anapakwa Blueband ???
Binafsi namna walivyokuwa wanacheza ikanilazimu nikaangalie msimamo wa ligi, nilichokuta sikukielewa kabisa. Mpira wao ni mkubwa mno.
Mpira unakuwaga na surpriseIt happens kwa mashabiki pale inatokea mechi imekuwa tight na kuhangaisha inapelekea hadi shabiki kuwa na uwoga nayo hata kama hawana kiwango ridhishi kwa wakati husika.
Binafsi Fulham ndio hiyo timu imeni torture.
Hawa jamaa bwana, walikuwa mwiba kipindi kile cha 2009-2013 hivi, kina Mark Schwarzer, Bobby Zamora, Dembele, Muphy, Riise, Dempsey mmarekani mmoja makini sana, Scott Parker ( kiungo flani wa kiingereza, mwenye mpira usio wa kiingereza), Hangeland (hapa alinikosha Charles Hillary kwenye ulimwengu wa soka wa bbc, Criiiiis Brede Hangeland) mwingereza mmoja mmerefu mwenye utulivu wake mguuni na kichwani. walijua kutuonea sana.
Wakitukuta tupo unga ni kipigo tu.
View attachment 3110381
Season ya 2020/2021 tukiwa unga wakawa miongoni mwa timu zilizotudungua pale Anfield.
Pale Craven Cottage hatari sana, tukikutana huwa ni hot game mpera mpera.
Hapo sasa vijana wa Anfield kiungo ni Jay Spearing, Charlie Adam, kina Bellamy, bench mnamtegemea Stewart Downing aje afanye jambo. Na 4-4-2 diamond winga mbili kushoto na kulia viungo wenu wawili, striker wenu hapo ni Andy Caroll, π«
Ligi ikiisha point zenu 56 mmekusanya hapo kati ya 114. Hapo inawajua Chelsea, Arsenal na Utd kutoka EPL,
Na hapo uko macho mechi ya monday night football saa 22:00, dah.!! Lets βEnjoy The Rideβ
Ynwa
Same old Wolverhampton... On the contrary don't break what's has worked wonder so they say... Crystal Palace and Wolverhampton had a good ride last season and they have remained in that set up since by then its served nicely only that other teams have evolved.. Jana ingekua Liverpool ya JK sana sana tungetoka sare pale kama sio kipigo...They are playing good football, ila matokeo hawapati, Nafikiri Gary anapaswa kutwist some tactic ili timu ipate matokeo. Kwa mf. Apunguze aggressiveness all the time na kufanya mambo machache sana kwenye final third, pasi mpaka ndani ya 18 timu unakuta ipo wazi sana, ila wenyewe wamekomaa na patterns zao, na mpira wao ule ule,inawachelewesha sana.
Ynwa