Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Afadhali uanze kunifundisha.

Maana naona tu sijui double pivot
Mara tukaswitch 2 4 ngapi
Mi sijui hata..naonaga tu Kuna muda pass zinaflow,Kuna muda njia haionekani.
 
Wewe ni miongoni mwa wateule wachache wenye miandiko yetu mizuri.
...
Si umesharudi bongo
Njoo Tukuyu unipikie na mimi nionje mapishi yako.
.......
Miandiko mizuri kwa madaktari ipo,ila inahesabika . .
Wachache sana.
 
Wawe wanakaa na Jota awanoe kidogo ubongo.

Kajota ni kagenius sana kwenye ufungaji.
 
Reporter to Slot: β€œHave you come to love Mo Salah?”

Arne Slot: β€œI always loved him… well, no… I always appreciated him… but I love my wife.” [@Marcotti]

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe ni miongoni mwa wateule wachache wenye miandiko yetu mizuri.
...
Si umesharudi bongo
Njoo Tukuyu unipikie na mimi nionje mapishi yako.
.......
Miandiko mizuri kwa madaktari ipo,ila inahesabika . .
Wachache sana.
Tukuyu πŸ˜‚πŸ˜‚ tokyo
 
Wewe ni miongoni mwa wateule wachache wenye miandiko yetu mizuri.
...
Si umesharudi bongo
Njoo Tukuyu unipikie na mimi nionje mapishi yako.
.......
Miandiko mizuri kwa madaktari ipo,ila inahesabika . .
Wachache sana.
Mapishi yangu utayaweza mkuu

Utaachika ujue...
 
Afadhali uanze kunifundisha.

Maana naona tu sijui double pivot
Mara tukaswitch 2 4 ngapi
Mi sijui hata..naonaga tu Kuna muda pass zinaflow,Kuna muda njia haionekani.

Ooh ok…!!! Hizi formation ni idada ya wachezaji wale 10 wa ndani, unataka wakae kwenye muunod gani?? Idara ipi iwe na wachezaji wengi?

Ukiona muundo unakuwa hivi A-B-C

Maana yake:-

Kwenye A wanakaa mabeki, haijalishi ni mchezaji gani amekaa hapo ila idara hiyo wanakaa walinzi.

Kwenye B wanakaa viungo.

Kwenye C wanakaa washambuliaji.

Wakati mwingine hugeuka geuka unaweza kuta kuna

A-B-C-C, mana yake eneo la washambulizi kuna mtu wa ziada na wakati huo huo kwenye kiungo utakuta kuna mtu mwingine wa ziada anasaidia viungo na na washambuliaji wa kati na wambembeni.

Mifumo baadhi ni kama hii:-

4-4-2 huu ni mfumo mama kabisa katika mpira, kwenye nne ya kwanza ni mabeki, nne ya pili viungo hapa utakuta kuna washambuliaji wa pembeni maarufu kama wings( mawinga) mbele kuna wawili washambuliaji.

4-3–3
4-2-3-1
4-1-4-1
3-5-2
3-6-1
3-2-4-1

Na mingine mingi tu. Lakini hii inakupa muongozo wa idara gani uwanjani unataka idadi ya wachezaji iwe nyingi.

Kuna mifumo mingine inatumika wakati mechi inaendelea. Hii ni mifumo ambayo on paper ni kama haipo ila wakati wa mechi hutumika ndio hizo utasikia wame switch kutoka A kwenda B na mingine.

Kwa mf. Utakuta wakati mnakaba mnakuwa kwenye 4-2-4, wakati mnashambulia mnakuwa 3-2-5, hizi ndio hizo switch lkn, muundo huo inakuwa vile vile tu kiidara, kwa mfumo wa A-B-C. Mpira unatembezwa kiidara.

Sasa huu mfumo kubadilika kwake inategemea na role atakayopewa mchezaji.

Kwa mf. Mechi ya jana ya Bologna, kuna muda tulikaba kwa 4-4-2 ila hiyo 2 ya hapo ilikuwa ni Jota na Szobo badala ya Jota na Salah, why?? Szobo ni presser mzuri over Salah lkn Salah ni mzuri akiwa na mpira mguni kusambaza mpira akiwa wide deep, mana yake ilikuwa ni muda wa kukaa na mpira zaidi ili kubuy time.


Sasa ukiona pass zina flow, ujue basi kuna weak link ya mpinzani na wewe timu yako inakuwa na quality kwenye links baina ya mstari na mstari ya mpinzani.

Tuishi mpaka hapo.

Ynwa’
 
Shkamoo mwalimu😍πŸ₯°.
Nimekuelewa

Haya,nifundishe na Double pivot
Sijui low block.
 
Vvd kama mie tu hivi, mkubwa mwenzangu yule,

Emotional za wadada kwenye mpira sasa,.

Ynwa
Hebu muone huyuπŸ˜‚πŸ˜‚
Kwahiyo umejipa ukubwa wa kulingana na VVD🀣🀣🀣.

Jiweke Kwa watoto wenzio akina TrentπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
VVD ni Baba..VVD ni kila kitu pale nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…