Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwa namna alivyoanza msimu Gravenberch sidhan kama huyu Zubimendi watamrudia aisee kwa kua pale tuna Morton na Endo ambao wanaweza kumsaidia dogo... Gravenberch kwa sasa kashamiliki pale kati.

YNWA
Tukicheza na Arsenal, Madrid na Citizens akaperform basi nitakubaliana na wewe lakini kwa sasa hivi bado
 
IMG-20241003-WA0004.jpg
 
IMG_20241003_114616_262.jpg

🗣️ Arne Slot: “Everybody tells me that a top league table team is harder to beat than a bottom league table team…” 👀⬇️

“And we have NOT faced one of them yet!” ❌

Liverpool faced Manchester United in September, but Erik ten Hag’s side currently sits 13th in the Premier League, just 4 points off relegation.. 😭💀

Meanwhile, Liverpool are at the top of the Premier League. 🔝
🤣🤣🤣
 
Miss Liverpool Saint Anne hujakosea kabisa kusema Graven ni mtu na robo tatu sio tu na nusu kama Caicedo 🤣🤣🤣

Gravern kitu cha ziada ambacho anacho ni kupiga chenga za kijanja janja yaani ni complete kiungo kabisaa.
Anaweza cheza hata namba 8 au 10 huyu. Huyu ni Baller
Kama anavyosema The MoNA mbele ya Klopp huyu asingeshaini kabisa maana Klopp alikuwa anapenda watu wagumu wagumu pale kati lakini huyu Gravern kwenye mfumo wa Slot anashaini sana
 
The MoNA vipi mkuu ? Tunaomba game analysis

It’s a New Era with its flavour.

Unaweza ukahisi kwenye touchline bado anasimama Klopp, kwa mpira unavyochezwa kisha ukahisi Klopp kuna ushauri ameupokea mahali ameufanyia kazi about slower the tempo, stay compact, keep focusing, use your chances wisely.

Why.
Slot anacheza kwa tahadhari kubwa sana ya rotation plus subs.
Analinda Fatigue na nevitable injuries. Misuli ikichoka inakuwa chanzo cha minor injuries.

Game jana kuna muda Bologna walikuwa too aggressive hawakuiogopa LFC wala Anfield, walifunguka vizuri, kwenye muundo wao wa 2-3-5 kuna muda ilikuwa 3-1-6 kwenye pressing yao, walituuliza maswali mgumu kwenye build up, why? Walikuwa na man to man marking game, plus tunategemea Gravern na Macca watumike kwenye build up, plus CB’s (vvd & konate), wakajaa kwenye final third ya LFC huku njia za Full backs zikiminywa na kulazimisha tucheze kupitia katikati walipokuwa wengi, na muundo wa narrow (inakuwa kama square hivi). They were to direct.
IMG_6344.jpg


IMG_6343.jpg

Moments tuliziwapora mipira na wakawa too sharp kuja kwenye muundo wa pressing,
Freuler, Ndoye, Urbanski walipiga shughuli kweli kweli. Huyo Ndoya alikuwa upande wa Trent ambao waliushambulia kwa asilimia kubwa ya mchezo, Konate kama kawaida yake anafanya back up ya maana sana.


But again kuiweza pressing ya hivi unahitaji

Quality players wenye quality passes, ambaye with one pass anaweza ku break entire lines kufika kwenye final third yao. You have VVD, Macca, Gravern (another good dutch player), Trent. Mipira ikawa inapenya tu kuwafikia, Diaz, Salah, Szobo, and Boom we got two clean goals.

Kati ya wachezaji nina wasi wasi tunaweza kupata nyakati ngumu kumtafuta mrithi wake basi ni VVD. Aisee huyu jamaa ana quality passes, defending art yake ni next level, ni vile tu yupo kwenye timu haina mbwembwe wala makelele kwenye media.

Alisson so far ananifurahisha na footwork yake improved alot, hana mawenge ya mguuni like i used to know him before, ni addition player kwenye build up.


Mashabiki kawaida yetu pressure ila ukizidi kusoma mpira na kuwa shabiki wa mpira sio result oriented fan, kuna jinsi pressure itakupungua. Slot ni kocha ambaye anapenda kulinda walau alichokipata huku akisisitiza sana, next goal litapatikana kwa calmness, stay compact, don’t panic, play accordingly your opponents,na goli litatokea tu. Kwa uchezaji huu utaona timu kama imezidiwa maeneo fulan of which is not but at the end una nini??

Baada ya goli la pili tukarudi kwenye 4-4-2 flat(diamond) huku Szobo akicheza kwenye 2 ya mbele, Salah akicheza deep wide kidogo. Why? Salah age, plus he is not machine presser than Szobo. Goshh Szobo he is a machine presser, alikuwa everywhere good game plus assist.

Bologna ni timu ipo very well organized, experience was their limit, otherwise they could do otherwise kwenye game ya jana. Kudos to Bologna they gave us tough game, even though they didnt win but they truly deserved a goal atleast.

Hit woodwork (1)
Alisson’s Saves.

Motta did a lot last season with them, ameondoka yeye, key players wao wameondoka kama wanne hivi, amekuja Italiano ameendeleza alipopaacha Motta.
Sema team za Italy recently tumekuwa vizuri vs them.

Gravern namna anavyotumia mwili wake wonderfull indeed, his passes, his runs, very quality. This guy apate quality DM asogee mbele plus acheze na Macca deadly combo.

Slot: There are alot to improve.
Macca: There are alot to improve.
Becker: There are alot to improve.

Fans: We are getting good results and we are not at the level they wanted us to be?? We are cooking opponents get ready fellas.

8/9 matches, first Liverpool coach to register this record.[emoji736]

Mo Salah first ever LFC player to score 5 goals in five matches at Anfield consecutively.[emoji736]

Six points out of six possible [emoji736]

Cleansheet[emoji736]

Position five out of 36 teams[emoji736]

Alexis Mac Allister first UCL goal [emoji736]

Go reds
Go Slot
Up Liverpool
‘Ynwa’
 

Attachments

  • IMG_6343.jpg
    IMG_6343.jpg
    171.9 KB · Views: 2
Miss Liverpool Saint Anne hujakosea kabisa kusema Graven ni mtu na robo tatu sio tu na nusu kama Caicedo 🤣🤣🤣

Gravern kitu cha ziada ambacho anacho ni kupiga chenga za kijanja janja yaani ni complete kiungo kabisaa.
Anaweza cheza hata namba 8 au 10 huyu. Huyu ni Baller
Kama anavyosema The MoNA mbele ya Klopp huyu asingeshaini kabisa maana Klopp alikuwa anapenda watu wagumu wagumu pale kati lakini huyu Gravern kwenye mfumo wa Slot anashaini sana
Ntaanza kumfuatilia dogo
Halafu karefu🤩

Huyu sijui zobamida hatumtaki tena
 
Back
Top Bottom