Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,106
- 6,678
Najuta saana kukuachia ukiwa mzima awamu huu nakuvunja mandiboHuna marinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najuta saana kukuachia ukiwa mzima awamu huu nakuvunja mandiboHuna marinda
Kheee kumbeNi muda wa Officials kutokuwepo chama kimoja na FA, FA wanataka uwaseme ma Refa then mnapigwa charge za nguvu ni muda Marefa kutokupewa muda wa kufikiria nao kuulizwa maswali na kupigwa Fine kubwa tu mshika kibendera aliweka kibendera chini kwa muda wa sekunde hata 21 za Suarez anashangilia ndio akanyanyua si Ufisadi tu wa chuki kwa mtu binafsi angefunga SG Refa angekataa basi mshika kibendera angelikubali. Everton wamecheza vizuri ila ni bad draw kwa LFC ukitegemea kuongoza 2-0 na kukataliwa goal vile muda wanaowapa washika vibendera wa kurudi kutizama TV unawapa usemi wa kutafuta sababu zengine za wao kujitetea wakiwemo na FA. SAHIN asingetolewa wangemsukuma SG mbele au wangemuingiza Assaidi, Raheem game kama Evrton haiwezi watamvunja.
Naunga mkono hojaGood match interms of speed and the midfield battle but Liverpool are having a lot of the ball whilst failing to convert clear chances into goals..not good for them.
Kumbe Liverpool wanawawaza NyumbuLiverpool nyie pambaneni mshinde mechi msiwawaze Man Utd...
SahihiMan U ni maadui wakubwa wa L'pool Fc hapo Uingereza na hamna mwingine!
Na adui siku zote mwombee njaa!
ApiaThread yenyewe imeandikwa na rangi ya chama kubwa Man U, kuonyesha mnatukubali.
Huna marindaNajuta saana kukuachia ukiwa mzima awamu huu nakuvunja mandibo
Ipo makumbusho yaniliverpool ni janga tu, hamuwezi kushinda hiyo mechi hata mkijinasibu vipi! timu yenu imekuwa historia
Game onmpira ushaanza dakika ya 2 mpira ni bila bila
chelsea 0 - 0 liverpool. mia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ganja tu huyo [emoji1787]Mkuu upo mitungi au vip?
Hiyo comment toka 2022.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe ndio umesema mbovu lkn
TumeshenyetwaTumeangukia pua leo! Lakini maisha yanaendelea...YNWA.
Kocha ndio tatizoNaomba kudeclare interest ..i am a dying fan of LFC..YNWA...Maisha yanaendelea..jamani ni msimu wa kujipanga tusikate TAMAA!!....Kiwango sio kibaya!!
DuhKusem aukweli, yataka moyo kuwa mshabiki wa Liverpool, lo! goli 3 - 1 tena kwa timu ndogo ya Aston Villa?
.RIP Liverpool
Nakupa siku 4 hutokuja tena humu nitafanya kama nilichomfanyia juma njembaHuna marinda
Yule ni mtu na nusu DadaTukiwafuataga wanajiona keki wapuuzi hawa
Sisi tunasonga mbele kama injili
Kama lile la Chelsea li ceicido sijui nani nani
Lishaua kipaji mazima.