Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

◾Luis Diaz 🇨🇴 na Cody Gakpo 🇳🇱 hawa ndio wachezaji wanao muumiza kichwa kocha wa Liverpool Arne Slot 🇳🇱 mpaka sasa.

Yani anae anza ana stahili kuanza na anae subiri nje pia nae ana staili kuanza pia kwakuwa uwezo nimkubwa pia.

Kazi kwake Bwana Arne Slot, kitu pekee mashabiki wana penda ni matokeo sahihi tu.

▪️Made in Liverpool

 
😂😂😂
◼️ Alexis Mac Allister 🇦🇷 ana kastori kake ka kusisimua

Ameshinda World Cup na Copa America kabla hata haja cheza michuano ya UEFA Champions League,

Ndani ya msimu wake wa kwanza katika michuano ya UEFA Champions League ni msimu huu ambao ana itumikia Liverpool

Mpaka sasa Amecheza michezo yake miwili ya UEFA Champions League katika maisha yake ya mpira na hatimae ndani ya michezo hio hii leo amefunga goli lake la kwanza kabisa katika michuano hio.

◾Made in Liverpool
 

Mtazame Macca wa Brighton ni balaaa.
Mtazame Szoboszlai wa Red Bull yaani ni tishio.... Haya mambo ya kuwahamisha namba walizozoea yanatunyima sana burudani

YNWA
 
Never ask a woman her weight, Never ask a man his salary. Never ask Liverpool fans what happened on January 26 at 10:36.
View attachment 3114620

Kuna watu waliona ndio mwisho wa Klabu, kuna watu waliumizwa kiasi cha kumchukia sana Klopp, but thats life sometimes Good moments need hard decisions.

Ynwa
 
View attachment 3114622
Mtazame Macca wa Brighton ni balaaa.
Mtazame Szoboszlai wa Red Bull yaani ni tishio.... Haya mambo ya kuwahamisha namba walizozoea yanatunyima sana burudani

YNWA

Szobo anacheza pale 10 ila role yake inaongezewa kitu kingine inaya mlimit ubora wake, Macca ndio kabisaa karudishwa nyuma hatua moja nyuma from his natural position. Ila kumkosa natural no.6 the animal, beast one ndio chanzo cha haya mambo.

Ynwa’
 
Hughes hana uwezo kwa kweli... Angekaa na data team haya mambo wala tusingefika huku kama Zubimendi aligoma basi wangetua kaa Ederson wa Atlanta na Unapata almost same output actual with small wage....

YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…