Nimekuwa nikisema na nitaendelea kusema....usajili wa rookies Moreno & Manquillo bado si mbadala wa full backs tulio nao in G Johnson na J Enrique. Kama hawa wakiwa fit (pamoja na Flano), always nitawachezesha
Chelsea kama kawaida yao wameanza kutepeta!Hawa Chelsea kwa kiwango hiki Jumatano hawawezi mfunga Stoke then Jumamosi ugenini kwa Newcastle hawatoki!
Wameisha anza kuchoka hawa
Teh teh teh teh Mbona hii hoja yako hujaipost ktk thread yetu?
Hongera kwa Ushindi mkuu..!
J5 nitakua darajani nikiwakaribisha Spurs na tarehe 6 nitakua kwa Newcastle.
Nothing game to lose mkuu. Huo ndio ukweli!
Asante mkuu!!
Wewe umeisha anza kulegea!Hadi January tunakata half za points unazo tuzidi
Namshukuru Gj leo katuokoa lakini ukweli unabaki palepale jamaa kaisha kwa upande wa majukumu ya ulinzi aiseee Gj keshaisha!
Manquillo is OK
Moreno ana mengi sana ya kujifunza maana ana tu cost sana!!
Mimi nina-miss statistics (result-wise) zinazomfanya Manquillo aonekane ni bora zaidi kuliko GJ. Kama unazo hapo karibu ziweke hapa, then maybe nitakubaliana na wewe.
Liverpool???!!!! Au timu ingine???! Naona unaota mkuu.
Umeshinda Jana basi utapoteza tena michezo mitano.... Upo hapo mkuu?
Sometimes we decide by"observation method"
Mkuu hata kutazama huoni tofauti zao?
Malafyale, hilo la ku-observe halina ubishi kabisa....ni muhimu sana na ninakubaliana nawe.
But the sad thing about football ni kuwa what counts in the end ni matokeo. Tumeona timu yetu kwenye mechi kadhaa imekuwa superior kwenye ball possession, shots on goal, corners, etc...lakini matokeo? Tunayajua.
Halikadhalika ni vema tukawa tunawapima wachezaji wetu kwa kuangalia substance... i.e mchezaji amechangiaje timu kushinda/ndwa, nk?
Moreno tumepoteza tu pound Milion 19 za bure kabisa!Ni mzuri akiwa kwenye kushambulia lkn kukaba anatufungisha tu!
Manquillo napendekeza anunuliwe kabisa atatusaidia huyu
GJ bado tunamuhitaji hasa kwenye games za kelele na champion league
True. Hatuna ujanja mkuu inabidi Manquillo tumbakishe ili tuimarishe depth.
Halafu yule mtoto Andre Wisdom yule vipi?... Inabidi arudi haraka sana, huwa mimi na-admire sana energy na athletism yake - akiwa groomed vizuri anaweza kuwa hata CB ili tuondokane na nightmare za midebwedo kama Lovren, etc.
Ligi ya Spain ni tofauti sana na England give moreno timr ni beki mzuri... nadhani alikuwa anajaribu kuimpress fans...
Sakho ameanza mazoezi mepesi bado...
Lets believe in the team and BR.... YNWA
Chelsea kama kawaida yao wameanza kutepeta!Hawa Chelsea kwa kiwango hiki Jumatano hawawezi mfunga Stoke then Jumamosi ugenini kwa Newcastle hawatoki!
Wameisha anza kuchoka hawa
Jumanne nitakuomba ukanushe maneno yako!