Nimekuwa nikisema na nitaendelea kusema....usajili wa rookies Moreno & Manquillo bado si mbadala wa full backs tulio nao in G Johnson na J Enrique. Kama hawa wakiwa fit (pamoja na Flano), always nitawachezesha
Namshukuru Gj leo katuokoa lakini ukweli unabaki palepale jamaa kaisha kwa upande wa majukumu ya ulinzi aiseee Gj keshaisha!