Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Slot anatuchanganya wakati mwingine... Kuna mechi nadhani 2 dogo Jota amecheza 10 tukiwa tunashambulia...
Jota by tradition ni strika lakini kwa Liverpool atacheza anachoambiwa na Mwalimu.

YNWA

It is such a good thing, do you know Jota na leseni ya ukocha?? Hii imemfanya kuelewa instructions haraka sana, kiasi cha Slot kumuamini sana. As 10 unapaswa kuwa mtulivu mno, akili nyingi sana of which Jota anatekeleza maelekezo kwa ufanisi zaidi, again, Szobo anaku operated close upande wa Salah ili kuongeza extra man upande ule, addition to Salah.

Interchanges’

Ynwa’
 

‘I believe in training ground over buying’,

“i have good squad with top top quality players”kikamkuta jambo akaona hapana aisee hiki nachojiaminisha sitafika popote, akabadili msimamo mambo yakajipa.

Sio kila msimamo ni wa kuushikilia.

Ynwa’
 

Kaka Conte msimu mmoja tu angeondoka wala asingesubiri kufukuzwa, hapendi mambo yawe mengi wakati kuna namna ya kuyafupisha. Even Tuchel under FSG, mapema tu anaondoka.

Ynwa’
 
3-5-2 naipenda sanaa

Mimi ni muumini wa mawinger-back wanavyokuwa wanaflow kwenda mbele

Kama una RWB,LWB na DM wa maana ni mfumo hatari sana ila usipokuwa nao ni mfumo mbovu sana

Huu mfumo kwa makocha walioutumia huwa hawana pumzi for atleast 2-4 seasons aki dominate unlike other system. Kwenye hiyo 5 hao Wing backs wanapaswa wawe na mapafu kweli kweli ndio wenye kuutimiza huo mfumo wa ufasaha, ndio mfumo wao huo, umeundwa kwa ajili hiyo..!!! Mkizuia wanakuwa 5-3-2 hao RWB & LWB wanarudi kuwa LB & RB, offensively wanaenda kuwa LW & RW, hapo ukutane na pressing teams too many games”, ni hatari kaka. Ndio mana wanautumia makocha wachache sana.

Conte, Tuchel, Sari, ndio waumini wakubwa, ila top top coaches wanatembea na 4-3-3 plus 4-2-3-1,

Ynwa’
 
Breaking News🚨: Liverpool ready to offer Ibrahima Konate new contract with Arne Slot plotting long-term future for defender.

Konate’s efforts are set to be rewarded with a brand new contract,
With so much focus on the contract situations of Trent Alexander-Arnold, Virgil van Dijk and Mohamed Salah, the fact that Konate’s current deal only runs until 2026 has been overlooked.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…