Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inabidi hizi hela nile na Trent
Baba wa timu 🔥🙌🏿
Hakuna mchezaji Bora Uingereza kama TrentHaya kweli ni mahaba niue
Dada hako ka Jude ni hatariiii
Umri ni namba😂Huyo The MoNA amepitwa kidogo na VVD na anaitwa Dogo, halafu TAA anapendwa na Mshangazi dhambi kubwa sanaaa 🤣🤣🤣
Trent akija anakuwa mtoto wanguNdio kusema Saint Anne ni Mshangazi unaopenda dogo dogo 🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂Rika la Slot halafu anakahusudu ka Trent ka 2000's 😁,
Hivi vichekesho tunalipia au ni bure?Hakuna mchezaji Bora Uingereza kama Trent
Kwani ni uongo?Hivi vichekesho tunalipia au ni bure?
You’ve got some jokesKwani ni uongo?
kwani uko serious?Kwani ni uongo?
Slot anatuchanganya wakati mwingine... Kuna mechi nadhani 2 dogo Jota amecheza 10 tukiwa tunashambulia...
Jota by tradition ni strika lakini kwa Liverpool atacheza anachoambiwa na Mwalimu.
YNWA
At times hua nawaza Klopp aliichukulia powa sana EP mwanzoni.. Baada ya misimu miwili aliamka na kuelewa kwamba EPL sio farmers league...
Alituaminisha Lovren ni world beater aisee na Lovren nae akapata bichwa kuamini kwamba ni level za juu matokeo yake akawa na over confidence na kuharibu zaidi, we are lucky VVD made others playing beside him better... I still believe we need another CB to support waliopo as Quansah get used playing at top level comes with lots of maturity...
YNWA
Hawa FSG wangempata Conte angewanyoosha jamani maa hua hana brake sio tim u ifungwo aafu atupiwe lawama huku kuna mchezaji uongozi ulifeli kumletea haha Conte ni the best kwenye situation zilizomkuta Klopp au Slot kwa hawa FSG yaaani wangemtimua ndani ya muda mfupi.
In the meantime tufurahie tulipo maana wapo wengi walijua akisepa Klopp yatatukuta wanayopitia Manchester au Chelsea (Baada ya kutua wamiliki wapya) lakin mambo yamekua tofauti kabisa. Tunashinda japo kwa kusuasua lakin ushindi ni ushindi hakuna namna...
YNWA
3-5-2 naipenda sanaa
Mimi ni muumini wa mawinger-back wanavyokuwa wanaflow kwenda mbele
Kama una RWB,LWB na DM wa maana ni mfumo hatari sana ila usipokuwa nao ni mfumo mbovu sana
Rika la Slot halafu anakahusudu ka Trent ka 2000's [emoji16],
Leo tushinde tena, isomeke game 10 win 9