chelsea wanacheza na Spurs....stoke na man utd jumanne mkuu...liverpool mnacheza na nani hii midweek??
We subiri uone Kati yangu Mimi na wewe nani atakanusha kauli Yake?
Mechi za week hii kati ya Tots na Newcastle huwezi pata the maximum points.
Umeisha tepeta
Hizi kauli zako umekua ukizitoa Mara nyingi tu..! Ata kabla ya kuja kwako ulisema hivyo Lkn kilichotokea Mpk kesho hautasahau!
Umepumulia machine kwa Sunderland!Costa wenu kawa Matumla sasa
Mimi sikatai kushuka kwa kiwango cha GJ. He's rubbish compared to his best past, just like wengine kama SG.
Argument yangu ni kuwa replacement (Manquillo) hana cha ziada. Infact, yuko worse kwa aina ya uchezaji wa timu hii ulivyo sasa.
Supporter wa Manquillo wanasema eti analeta defensive stability lakini sina uhakika sana kama statistics zinam-back. MosDef tusaidie hapa with/without GJ/Manquillo tulipata results gani then maybe argument ya "defensive stability" itakuwa relevant.
Moreno tumepoteza tu pound Milion 19 za bure kabisa!Ni mzuri akiwa kwenye kushambulia lkn kukaba anatufungisha tu!
Manquillo napendekeza anunuliwe kabisa atatusaidia huyu
GJ bado tunamuhitaji hasa kwenye games za kelele na champion league
SG amakuwa offered mkataba mpya, lakin bado hajarespond!!!
why???
Baada ya dakika 90 tuje hapa kwa wingi kushangilia ushindi wetu