Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,833
- 11,173
chelsea wanacheza na Spurs....stoke na man utd jumanne mkuu...liverpool mnacheza na nani hii midweek??
Leicester City mkuu!Nampiga kiurahisi tu
Chelsea kaisha anza kutepeta hachukui points zote kwa Tots(sare)
Kwa rejuvinated Newcastle aliyejeruhiwa na Westham anaachia points zote