Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Naona unaforce kwa hali na mali uwe mshindiMpira Mapenzi Muziki,.
Oh yeah.!!! good music tho ulikuwa mdogo sanaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona unaforce kwa hali na mali uwe mshindiMpira Mapenzi Muziki,.
Oh yeah.!!! good music tho ulikuwa mdogo sanaaa
Naona unaforce kwa hali na mali uwe mshindi
Kuidhinishwa na nani?Tayari muda bado kuidhinishwa tu”,.
Adui yetu mkubwa hua ni sare.Simba wanasema ushindi wa Liverpool kama wa Yanga! Kagoli kamoja kamoja!
I'm missing youNakusalimia Miss Liverpool.
YNWA
Yeah, ni kweli kabisa zimetunyima vikombe misimu miwili mfululizo!Adui yetu mkubwa hua ni sare.
YNWA
Slot akomeshe utiriri wa sare tuko pazuri sana.Yeah, ni kweli kabisa zimtunyima vikombe misimu miwili mfululizo!
Golikipa wa MoNA na Bobby
Man u wameshindwa kabisa kumchukua huyu MzeeMeneja wa zamani wa timu ya Uingereza ya Liverpool Jurgen Klopp ameteuliwa katika nafasi mpya kuwa mkuu wa shughuli za soka katika kampuni ya Red Bull, ambayo inamiliki klabu za RB Leipzig ya Ujerumani, RB Salzburg ya Austria, Red Bull Bragantino ya Brazil na RB New York.
Red Bull inasema Klopp hatahusika katika shughuli za kila siku lakini atazishauri timu kuhusu falsafa, mkakati wa uhamisho na maendeleo ya ukufunzi.
Klopp, raia wa Ujerumani mwenye umri wa miaka 57 ataanza jukumu hilo tarehe 1 Januari 2025.
Kelleher naye si aliumia ? Ndio maana akadaka Jaros ?Golikipa wa MoNA na Bobby
Namna gani tena pale🥹
Tumeanza mapema kwenda wodini...ila hakikaharibika kitu,Golikipa wa Dunia Kelleher yupo.
Sijui kama aliumiaKelleher naye si aliumia ? Ndio maana akadaka Jaros ?
Lakini naona kwenye international timu kaitwa
Golikipa wa MoNA na Bobby
Namna gani tena pale🥹
Tumeanza mapema kwenda wodini...ila hakikaharibika kitu,Golikipa wa Dunia Kelleher yupo.