Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Meneja wa zamani wa timu ya Uingereza ya Liverpool Jurgen Klopp ameteuliwa katika nafasi mpya kuwa mkuu wa shughuli za soka katika kampuni ya Red Bull, ambayo inamiliki klabu za RB Leipzig ya Ujerumani, RB Salzburg ya Austria, Red Bull Bragantino ya Brazil na RB New York.

Red Bull inasema Klopp hatahusika katika shughuli za kila siku lakini atazishauri timu kuhusu falsafa, mkakati wa uhamisho na maendeleo ya ukufunzi.

Klopp, raia wa Ujerumani mwenye umri wa miaka 57 ataanza jukumu hilo tarehe 1 Januari 2025.
 
Man u wameshindwa kabisa kumchukua huyu Mzee
Acha waendelee kuchapika
 
Golikipa wa MoNA na Bobby
Namna gani tena pale🥹
Tumeanza mapema kwenda wodini...ila hakikaharibika kitu,Golikipa wa Dunia Kelleher yupo.
Kelleher naye si aliumia ? Ndio maana akadaka Jaros ?
Lakini naona kwenye international timu kaitwa
 
Golikipa wa MoNA na Bobby
Namna gani tena pale🥹
Tumeanza mapema kwenda wodini...ila hakikaharibika kitu,Golikipa wa Dunia Kelleher yupo.

Best among the best. Best of 1v1 GK”,.

With Kelleher tupo mikono Salama, with Jaros we will be on the safe hand.

My concern itokee kwa Vvd/Macca/Salah, we might shake.

Ynwa
 

Angelikuwa mchezaji wa ndani athari ingekuwa kubwa zaidi, hamstring zimemuandama, kwa misimu hiyo, mwezi october to december amekuwa akiumia sana.

Kuna jinsi naanza kuelewa ni kwa nini wameenda kwa Mamardashvili…!!! As a time goes, injuries zinazidi kuongezeka kwake, huenda inaathiriwa na umri pia, anyway lets see this season itakuwaje kwake.

Jambo lenye kheri we have Kelleher ambaye akikaa golini unamsahau Becker kwa muda for some moments in the game. No pressure at all.

Get well soon AB1.

Ynwa’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…