Nickson francis
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 700
- 1,306
Wanaona aibuMan u wameshindwa kabisa kumchukua huyu Mzee
Acha waendelee kuchapika
Unaangalia mpira au unatazama mpira au upo livescore kama OllaChuga Oc πππ€π€π€πππGolikipa wa MoNA na Bobby
Namna gani tena paleπ₯Ή
Tumeanza mapema kwenda wodini...ila hakikaharibika kitu,Golikipa wa Dunia Kelleher yupo.
Kwa sasa nina wasiwasi na Gravenberch aisee huyu ni irreplaceable kwa sasa.. 1st name kwa gaffer match day squad ni huyu mwmba..Best among the best. Best of 1v1 GKβ,.
With Kelleher tupo mikono Salama, with Jaros we will be on the safe hand.
My concern itokee kwa Vvd/Macca/Salah, we might shake.
Ynwa
Huyo Kelleher hata top 20 ya best goalkeepers sidhani kama yupoUnaangalia mpira au unatazama mpira au upo livescore kama OllaChuga Oc πππ€π€π€πππ
YNWA
Karim au Pepe wa Porto au Khavicha au Bowen hawa wanatufaa.Karim Adeyemi and Mohamed Kudus link with LFC transfer for Salahβs replacement probably.
But for now Salahβs Contract remains the priority.
Ynwaβ
No wonder he is namba 2 Liverpool π€£π€£π€£π€£Huyo Kelleher hata top 20 ya best goalkeepers sidhani kama yupo
Kwa sasa nina wasiwasi na Gravenberch aisee huyu ni irreplaceable kwa sasa.. 1st name kwa gaffer match day squad ni huyu mwmba..
Most influential players kwa sasa ni Gravenberch, VVD, Macca, Soz, Salah, Diaz, Trent, Robbo.....
YNWA
Karim au Pepe wa Porto au Khavicha au Bowen hawa wanatufaa.
YNWA
Nimefunga DStv hapaUnaangalia mpira au unatazama mpira au upo livescore kama OllaChuga Oc πππ€π€π€πππ
YNWA
Anapewa mechi chache ndio maanaView attachment 3120143
Golikipa la dunia Kelleh hata kwenye hizi takwimu kapitwa mpaka na Jaros ?
Siku hiyo timu nzima inakuwa ina siku nzuri ofisini kuanzia kwa Jota,Diaz, Salah pamoja na Szobo,Macca na Gravern π€£π€£π€£Anapewa mechi chache ndio maana
Hachezi mfululizo,na bado akicheza anakupa matokeo mazuri
Redio kwizela bossJamani mechi ya liver na Asto inaonyeshwa live kwenye website gani?
Safi saana tutawaua hawaCha kwanza hicho... presha presha preshaaaaaaaaaaaaaaaaa.....
Liverpool 1 - 0 A' Villa
Hizi mechi za mapema sio za kuamini- Wakulu vipi tupo pamoja mechi ndio imeanza vipi tutashinda? maana wagonjwa wa hii timu tupo wengi.
Redio maria na bukedde tvJamani mechi inaonyeshwa website gani?
SahihiMotivation ya kushinda kwa L'pool leo ni kubwa sana maana wanajua ushindi huo utaacha pengo la point moja tu kati yao na MANU. Na MANU sasa hivi wanaonekana wamesambaratika kwa kupoteza mechi mbili mfululizo kitu ambachi hakijawahi kutokea hivi karibuni. Mara ya mwisho kupoteza mechi mbili mfululizio ilikuwa ni katika msimu wa 2005. L'pool wajitahidi kujivunia magoli mengi maana kuna uwezekano tofauti ya magoli ndiyo ikaamua ni nanni mshindi wa msimu huu.
Ni kweli kabisa tuna kipa mzuriKitu kimoja nimegundua Pepe Reina ni kipa mzuri anayeweza kutengeneza magoli mwenyewe. Hii move nimeona kaifanya mara kibao