Tuwekee mapenzi pembeni babu SG ameisha leo tuna cheza 4-4-2 diamond na babu ndo yupo kwenye tip ya diamond hakuna creativity kwenye final third.
Huyu mignolet naye anatuchosha tu na silly mistakes zake kama cambiasso ange hit target tungekuwa down kwa goli mbili na zote ni uzembe wake
Mi nadhani Countinho should take SG's place ili tupate creative mind kwenye final third maana babu hata turns imekuwa ngumu