Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwa wale Mashabiki wa Livepool tuombe BR andelee kuwa kocha wa Liverpool, Liverpool aliyokuwa anaofikiria inakaribia kuwa kweli..Alipomnunua Kolo Toure wa watu walodiss, but Kolo has Improved,Tazama kiwango cha Lambert mechi 4 zilizopita ni bora ukilinganisha na hapo mwanzo.. Amini Lallana+ Markovic+Can+Origi+Sterling+Coutinho+Henderson+Toure+Sturridge Chini Ya BR Dunia itasimama

umetumwa wewe!
 
Baada ya dakika 90 bado unasimamia kauli yako kama SG kaisha so ampishe Coutihno?

SG huwa anatuinua mioyo yetu siku tunayo hitaji tuinuliwe kama ya leo!Viva fundi wa Uingereza

tumecheza vizuri kipindi cha pili baada ya red card na bado Leicester wakawa wanaonekana threat, nilichokuwa na kililia muda mrefu ni Lucas kuwa defensive midfielder nakumbuka nilipata upinzani mkubwa sana hapa kuhusu hili. Lallana naye anapoteza movement kwa kudelay mpira

Sterling, japo watu wanamuona mchoyo ila ame-improve kwenye game za karibuni, kwenye game ya jana alikuwa anaenda mbele ila anakosa support kutoka lambert

Ila ushindi ni ushindi we need four straight win tutakuwa kwenye top four au wa 5 hapo wachezaji wetu watakuwa wamegain confidence. Kwa mtazamo wangu SG kuwa creative midfielder na umri wake inakuwa ngumu ni bora angekuwepo countinho na SG mbele countinho atokee kwenye wing babu ni mzuri kwenye pasi za mwisho ila Lallana kutokea wing hana msaada mbali na goli sijaona mchango wake wa maana jana
 
Katika pita pita zangu nimekuta na hili jina Will sheyi ojo Jana alisafiri na timu nasikia yuko poa. Kuna mtu ana detail zaid za huyu dogo.....?
 
Attachments

  • 1417623190144.jpg
    1417623190144.jpg
    48.6 KB · Views: 99
Anfield Stadium Expansion starts on monday!!!

reports zinasema FSG wametoa £114m kwa ajili ya Anfield redevelopment!!!!
 
Anfield Stadium Expansion starts on monday!!!

reports zinasema FSG wametoa £114m kwa ajili ya Anfield redevelopment!!!!
Nimevutiwa nayo

"#LFC today confirmed the expansion of the
Main Stand at Anfield Stadium, which will
become one of the largest all-seater stands in
Europe’s top divisions and will take the overall
Anfield capacity to around 54,000"
 
Attachments

  • 1417717226247.jpg
    1417717226247.jpg
    37 KB · Views: 92
  • 1417717264834.jpg
    1417717264834.jpg
    17.8 KB · Views: 89
  • 1417717286877.jpg
    1417717286877.jpg
    32.5 KB · Views: 87
Nimecheki some clip zake dogo yuko vizur sometime anajua where to hit ingawa naye anakatabia kauchoyo ... ila naye yanaweza mkuta ya kina Ibe

Ojo ni "another typical English ST"...

I'd rather have Jerome Sinclair or Samed Yesil kwenye LFC first team kuliko Ojo!!!

Samed Yesil, majeruhi yaliharibu sana Ukuaji wa kasi wa Soccer lake..but aina ya uchezaj wa Yesil ndo BR huwa anaipenda!!!...ni Versatile ST...

Ujio wa BR LFC umeua progress nyingi za madogo wa Academy..

Ibe
Texeira
Coady
Adjoran
Pieterson
Morgan
pacheco
Jack Dunn (kastuck)
Branagan (kastuck)
Martin kelly
Andre Wisdom
Suso (japokuwa kaumia, lakin hata akirudi hatochezeshwa)..

Kwa clubs nyingine muda kama huu, Mchezaji kama Rossiter angekuwa anapewa nafasi kubwa sana kwenye First team (yule dogo anajua sana mpira)...hawa kina Ojo, Harry wilson "new bale" unaowaona sana sahiv kwenye mazoez ya team ya kwanza, watastuck si muda, team kama Arsenal, Barca, Man utd (ya Van Gaal), BVB etc..dogo IBE angekuwa anapewa nafasi kubwa saaana kwenye first team...lakin si tumemtoa kwa mkopo!
 
hahahahaha!!

We want William Calvalho!!!

£25m though!!!!
 
Kinachonishangaza ni kuwa we have more kids ambao wako talented afu bado BR ana nunua wengine kuna article moja nimesoma nimeona #LFC tumeingia katika vita na man u kumsajili Odengaard (sijui kama jina lake nimelipatia)

Huyo Wilson yuko poa sana naye nimemuona he is talented.

Kiukweli kuhusu hao madogo wote uliowataja wananifanya nishindwe kuelewa technical mentality ya BR kuhusu young players wa academy
 
Nasikia kuna dogs a wonder kid Anaitwa martin odegaard anagombaniwa na club Yetu ya Liverpool na Madrid.dogo eti alishawahi Kufanya mazoezi na Liverpool.mwenye News zaidi atujuze.
 
Nasikia kuna dogs a wonder kid Anaitwa martin odegaard anagombaniwa na club Yetu ya Liverpool na Madrid.dogo eti alishawahi Kufanya mazoezi na Liverpool.mwenye News zaidi atujuze.

Martin ødegaard (15 years, anafika 16 years siku 12 zijazo) ni raia wa Norway na ni shabiki wa LFC, jana ndo alikuwepo Melwood na baba yake, na alifanya mazoezi na first team!!!

ana machaguo kati ya RMA, BARCA, MANURE na LFC, but ushabik wake kwa LFC unaweza ukamvuta kwetu, ingawa kinachoangaliwa ni offer nzuri itatoka wapi na washauri wake watamshauri vipi...

Will Hughes alishawahi kufanya tour pale Melwood lakini mwisho wa siku akabaki kule kule Derby County...
 
Kinachonishangaza ni kuwa we have more kids ambao wako talented afu bado BR ana nunua wengine kuna article moja nimesoma nimeona #LFC tumeingia katika vita na man u kumsajili Odengaard (sijui kama jina lake nimelipatia)

Huyo Wilson yuko poa sana naye nimemuona he is talented.

Kiukweli kuhusu hao madogo wote uliowataja wananifanya nishindwe kuelewa technical mentality ya BR kuhusu young players wa academy

Harry wilson si muda atastuck au utasikia kapelekwa kwa mkopo kwenye team ya championship league!!!
 
Harry wilson si muda atastuck au utasikia kapelekwa kwa mkopo kwenye team ya championship league!!!

Tutazidi poteza good talent kwa style ya BR, siyo good ishu hata kufanya sign ya odengaard maana(unaweza kuta hata bila kuvaa jezi yetu akaenda kwa mkopo any club) this kid yuko very talented
 
Back
Top Bottom