Ojo ni "another typical English ST"...
I'd rather have Jerome Sinclair or Samed Yesil kwenye LFC first team kuliko Ojo!!!
Samed Yesil, majeruhi yaliharibu sana Ukuaji wa kasi wa Soccer lake..but aina ya uchezaj wa Yesil ndo BR huwa anaipenda!!!...ni Versatile ST...
Ujio wa BR LFC umeua progress nyingi za madogo wa Academy..
Ibe
Texeira
Coady
Adjoran
Pieterson
Morgan
pacheco
Jack Dunn (kastuck)
Branagan (kastuck)
Martin kelly
Andre Wisdom
Suso (japokuwa kaumia, lakin hata akirudi hatochezeshwa)..
Kwa clubs nyingine muda kama huu, Mchezaji kama Rossiter angekuwa anapewa nafasi kubwa sana kwenye First team (yule dogo anajua sana mpira)...hawa kina Ojo, Harry wilson "new bale" unaowaona sana sahiv kwenye mazoez ya team ya kwanza, watastuck si muda, team kama Arsenal, Barca, Man utd (ya Van Gaal), BVB etc..dogo IBE angekuwa anapewa nafasi kubwa saaana kwenye first team...lakin si tumemtoa kwa mkopo!